Uongozi wa Magufuli umeacha madoa mabaya kwa CCM Taifa

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Uongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine mpaka viongozi wa dini waliwekwa kwenye tagert ya hit list.

Mwingira anaweza akawa asiwe wa mwisho tunaiomba serikali kupitia vyombo vyake vya udhibiti watu aina ya magufuli wasipewe milele uongozi wa juu katika taifa letu hasa katika nyakati hizi ambapo hatuna katiba bora.
 
Madoa ya Stglers Gauge, Mfugale na kijazi Flyover, Reli ya mwendokasi, kuhamia Dom, Hospital kubwa za kikanda, ukosefu wa mgao wa umeme.nk hayawezi kufutika
Kuna faida gani ya kufanya haya yote halafu watu kama kina Ben Saanane hawajulikani walipo huku mamlaka zikikaa kimya makovu yanayoripotiwa ni mengi kuliko hizo stiglaz goj we unadhani Adolf Hitler hakufanya mambo kama hayo? Ila hakumbukwi kwahyo anakumbukwa kwa mauwaji ndio legacy aliyoiacha duniani
 
Nani kakudanganya Adolf hakumbukwi German na chama chake cha nazi?

Hakumbukwi na wahuni wa NATO na vibaraka wao wa kiyahudi ndio sababu hadi wametunga sheria kuzuia watu kumkumbuka lakin bado maarufu
Kuna faida gani ya kufanya haya yote halafu watu kama kina Ben Saanane hawajulikani walipo huku mamlaka zikikaa kimya makovu yanayoripotiwa ni mengi kuliko hizo stiglaz goj we unadhani Adolf Hitler hakufanya mambo kama hayo? Ila hakumbukwi kwahyo anakumbukwa kwa mauwaji ndio legacy aliyoiacha duniani
 
Madoa ya Stglers Gauge, Mfugale na kijazi Flyover, Reli ya mwendokasi, kuhamia Dom, Hospital kubwa za kikanda, ukosefu wa mgao wa umeme.nk hayawezi kufutika

Dom watu sasa hivi wanalia, wote washakimbia huko hakuna hata anayepatamani!
Hayo mengine sijui Stgler, Mfugale n.k mataga na sukuma gang ndiyo mnayojitetea nayo mnaposhindwa kujibu hoja za msingi!
 
Ndio ulivyotenengenezwa kuamini hivvyo bdio sababu Rais wa Marekan alieamuru mabomu ya Nuclear kupigwa kwa Raia wa Japan hayupo kwny orodha yako ya watu katili

Rais wa Marekan alieamuru kuteketeza wanyonge kule Vietnam hayupo kwny orodha ya watu wako katili
maarufu kwa ukatili
 
Uongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine mpaka viongozi wa dini waliwekwa kwenye tagert ya hit list. Mwingira anaweza akawa asiwe wa mwisho tunaiomba serikali kupitia vyombo vyake vya udhibiti watu aina ya magufuli wasipewe milele uongozi wa juu katika taifa letu hasa katika nyakati hizi ambapo hatuna katiba bora.
Ila case ya MWingira kwa upande mwingine ina ukakasi mwingi..yule mwamba ana kashfa nyingi tuu
 
Kuna kitu tu
Maana munajitahidi saana kuchafuwa jina la magufuli
Ili muhinuwe wa kwenu
Ukweli ni kwamba huo mzimu wa magufuli utatowa watu madarakani

Ni macho yetu

Izi zote ni propaganda tu kumchafuwa ili wale walihokuwa na mapenzi ya dhati kwake wa mchukie
 
Uongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine mpaka viongozi wa dini waliwekwa kwenye tagert ya hit list. Mwingira anaweza akawa asiwe wa mwisho tunaiomba serikali kupitia vyombo vyake vya udhibiti watu aina ya magufuli wasipewe milele uongozi wa juu katika taifa letu hasa katika nyakati hizi ambapo hatuna katiba bora.
Ule haukuwa uongozi ulikuwa ni ukatili tupu
 
Hakuna maendeleo mepesi mepesi

Hata haya matunda sijui ya reli ya Dar kgm kuna watu walihenya enzi hizo na hawakufaidi matunda

Tulieni huko Dodoma matunda watafaidi vitukuu

Hii Dar mnayolilia kurudi ilijengwa na babu zenu na hawakuifaidi

Dom watu sasa hivi wanalia, wote washakimbia huko hakuna hata anayepatamani!
Hayo mengine sijui Stgler, Mfugale n.k mataga na sukuma gang ndiyo mnayojitetea nayo mnaposhindwa kujibu hoja za msingi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom