Naibu waziri Mwita Waitara akiwa Azam amesema alipata Covid ya wimbi la nne na kupona. Waitara amesema kwa kuwa alikuwa amechanja alipata dawa kidogo na kupona.
Pia Waitara ameongelea mabasi ya...
Siku zote Taikon ni mtu asiye na unafiki, mapema ukweli mara nyingi. Hivyo ndivyo ninavyojitambulisha.
Mimi sio Mfuasi wala mwanachama wa Chama chochote au mtu yeyote Yule. Kumaanisha nipo huru...
Serikali imekuwa ikijinasibu kuwa hatuna mgonjwa hata mmoja wa variant mpya:
Lakini kote kushoto na kulia "ban" zinatuhusu:
Russia completely bans travel from Botswana, Zimbabwe, Hong Kong...
Shujaa mpenda haki ametutoka.
Tributes kwa maisha yaliyopotea zinapoendelea kumiminika tuna mengi ya kujifunza.
Hizi hapa ni za Mh. Samia:
Salamu hizi zimewaamsha watema nyongo kwa misingi...
Uwepo wa mustakabala mpya wa mahusiano baina watu na watu pia watu na serikali hauwezi kudunishwa.
Ni muhimu kuzipitia sekta mbalimbali katika kuamshana kwenye harakati hizi takatifu.
Tuanze...
Piga hesabu wabunge wa majimbo wote, wabunge wa kuteuliwa wote, wabunge wa viti maalumu wote jumlisha mawaziri na manaibu mawaziri angalia hotuba zao.
Wangekua wanaanza, Namshukuru Mwenyezi Mungu...
Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa.
Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali...
Wanaharakati wa Kamati ya Kimataifa ya kutetea Wanahabari (CPJ), Angela Quintal na Muthoki Mumo, wamefunguka mazito kuhusu kilichowatokea siku walipovamiwa hotelini na watu waliojitambulisha ni...
Kamishina wa tume ya maadili nchini Jaji Sivangilwa Mwangesi amesema kati ya watumishi 15,000 wanaotakiwa kuwasilisha hati zao kwenye tume ni watumishi 120 tu mpaka sasa waliowasilisha hati zao...
Leo naibu waziri wa mambo ya ndani, Khamis Hamza Chilo amesema Watanzania wote wenye sifa ya kupata vitambulisho vya Taifa wote watapewa vitambulisho vyao kufikia Disemba mwaka huu. Waziri Chilo...
Mh rais wangu mpendwa JPM, John Pombe Magufuli huu si muda tena wa sheria na demokrasia.Mh rais taifa limeshapotea kila mahali, maadili hamna tena, watu wema ni wachache sana, watanzania wanawaza...
Salaam,
Ukimuuliza mpenda haki yeyote kuhusu chadema katika taifa hili atakutajia sifa zifuatazo;
1. CDM ni sucrifice wa siasa za Tanzania
2. CDM ni mastermind wa siasa za Tanzania
3.CDM ni...
Kuna habari zina trend za kwamba Mama anataka kumnyang'anya Hoteli Mwekezaji na kumpatia mwingine ambaye ndo wamilik wa Four Season Hoteli iliopo Serengeti na pia Gran melia Arusha na nafikili pia...
Anajua akimchafua Magufuli labda atapata kiki maana sasa wapinzani na wanaCcm kwa ujumla walishamchukia na kumuona ni tapeli la kisiasa lenye kujali matumbo yake.
Amejaribu kuonyesha na kuchambua...
Unapouliza mapungufu kwenye masuala ya demokrasia yetu nchini ni rahisi sana kusikia kuwa demokrasia yetu bado ni changa sana ukilinganisha Na nchi za marekani Na ulaya, hivyo bado tunajifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.