Waziri Ummy leo nimeshangaa andiko lako la kusema huko awamu za nyuma hazikujali shule shikizi, awamu hii imejali.
Umekosea na kupotoka sana, ipo hivi ukweli usiopingika ni kuwa bado nchi yetu ni...
Kwenye Space ya Maria inayoendelea, Mheshimiwa Lema anasema kuwa Mheshimiwa Mbowe alimpigia simu Rais Samia na kumpa pole kifuatia kifo cha Dkt Magufuli.
Wakati huo Mheshimiwa Mbowe alikuwa Dubai...
Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka.
Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti Watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na...
Huyu mbunge kijana sio size ya wabunge waliowahi kupita katika jimbo la Biharamulo tangu enzi za ushindani wa John Magufuli na Phares Kabuye na baadae kugawanywa na kuwa biharamulo magharibi na...
Kwa Tanzania ya Leo vyama vyenye nguvu kubwa ni viwili CCM na Chadema tu, hao waliobaki ni vyama vya kwenye makaratasi au kwenye ma flash Kama Lissu alivyosema.
CCM ni Chama ambacho kina...
Haya maisha kadri mtu mmoja anavyozidi kukopa huko nje na kuleta pesa hizo humu ndani kumekuwa na mfumuko wa bei katika bidhaa nyingi sana. Yaani kila bidhaa masokoni madukani na popote bei...
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.
Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya...
IGP Sirro amesema Mtwara hali siyo shwari sana kwani kuna vikundi vya kihalifu vya vijana mpakani na Msumbiji vinaleta shida.
Sirro amesema taarifa alizonazo ni kwamba watu watatu wamejeruhiwa na...
Kuna mpango wa ovyo unaendelea kutengeneza na genge la Akina zitto kabwe, Absolum kibanda na wengine baada ya kuongwa na tabaka tawala Ili watupoteze sisi sote tunao tafuta katiba mpya.
Mpango...
SALUTI
(a) Je, ni nini maana ya kitendo cha kupiga saluti kinachofanywa na askari?
(b) Je, ni askari wa ngazi gani hupigiwa saluti?
(c) Je, ni maafisa/viongozi wa ngazi gani uraiani katika...
Katika pitapita yangu huko twitani nimeona habari nyingi lakini ilionikonga nyoyo ni hii ya Meya wa Moshi Juma Raibu kutoa mbuzi kama hamasa Kwa watumishi wa umma kadhaa waliosimamia ujenzi wa...
MIEZI NANE BILA JPM;RAIS MAGUFULI, ALAMA,UTAMBULISHO,KIELELEZO NA MWAKILISHI WA WATANZANIA.
Leo 10:35hrs 17/11/2021
Nianze kwa Ushauri,na huu ndio ushauri wangu;Pamoja na Uzalendo uliopitiliza...
Wasalaam wadau,
Jamani tupo katika zama mbaya sana kisiasa katika taifa hili, imekuwa ni mabishano ya vurugu tupu bila hoja zenye misingi.
Huyu anasema hivi yule anasema hivi na hakuna...
Kusema ukweli sioni sababu ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwepo huku pembezoni mwa mji kwenye vituo vya daladala kama vile Banana, Mombasa, Gongo la mboto, Mbagala, Mbezi etc...
Serikali imeanza majadiliano na Benki ya Dunia ili kupata mkopo wa kugharamia ukarabati na upanuzi wa Viwanja vya Ndege 11 kwa kuzingatia mapendekezo ya ripoti ya upembuzi yakinifu na usanifu wa...
Binadamu tumeumbwa kuwa na kinyongo kwa wale ambao tunahisi hawatufanyii mazuri
Saikolojia ya Spika Ndugai imeathirika baada ya SSH kufanyia shughuli nyingi za kitaifa Dar es salaam kuliko...
wakuuuuu
Mwaka 2021 ndio unaelekea kuisha na tunaingia 2022 kwa uweza wa Mungu
Katika mwaka 2021 nchi yetu ilitikiswa na matukio makubwa yafuatayo
1. Kifo cha rais wa awamu ya 5, Hayati John P...
Waziri wa Afya Dkt.Dorothy Gwajima, amepokea Chanjo za Moderna chini ya Mpango wa COVAX hii ikiwa ni Awamu ya Kwanza kwa aina hii ya Chanjo kuingia nchini kiasi cha dozi 376,320 ambazo...
Hapa sasa ndio nakubaliana na yule Kigogo 2014 aliyesema Katiba mpya haiwezi kuletwa na wanasiasa bali italetwa na wananchi.
Zitto Kabwe anasema tunapaswa kupata tume huru ya uchaguzi badala ya...
Baada ya nchi kupita kwenye majonzi na uzoefu tofauti wa kufiwa na rais aliyeko madarakani yaani hayati Magufuli.
Sasa ni dhahiri wapinzani wake wameshaelewa utawala wa Samia. Kama ilivyo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.