Biharamulo sasa ina mbunge baada ya miaka mingi

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,884
22,601
Huyu mbunge kijana sio size ya wabunge waliowahi kupita katika jimbo la Biharamulo tangu enzi za ushindani wa John Magufuli na Phares Kabuye na baadae kugawanywa na kuwa biharamulo magharibi na mashariki na baadae chato

Ukimsikiliza utaona utaofauti mkubwa kwenye jimbo ambalo limetawaliwa na vyama vya TLP , CHADEMA na CCM huyu kijana yupo vema ndani ya kundi kubwa la wabunge wa CCM bungeni.

Hoja za maendeleo ya miaka mitano ya serkali mchango wake umekuwa moto hasa eneo la AJIRA KWA vijana na viwanda.

Mm USSR ambaye sio mpiga zumari KWA wanasiasa nadhani huyu ndio wanabiharamulo wanamtegemea kwa sasa

USSR
 
Hebu elezea ameilifanyia nini jimbo lake mpaka hivi sasa!??
 
Huyu mbunge kijana sio size ya wabunge waliowahi kupita katika jimbo la biharamulo tangu enzi za ushindani wa John Magufuli na Phares Kabuye na baadae kugawanywa na kuwa biharamulo magharibi na mashariki na baadae chato

Ukimsikiliza utaona utaofauti mkubwa kwenye jimbo ambalo limetawaliwa na vyama vya TRP , CHADEMA na CCM huyu kijana yupo vema ndani ya kundi kubwa la wabunge wa CCM bungeni.

Hoja za maendeleo ya miaka mitano ya serkali mchango wake umekuwa moto hasa eneo la AJIRA KWA vijana na viwanda.

Mm USSR ambaye sio mpiga zumari KWA wanasiasa nadhani huyu ndio wanabiharamulo wanamtegemea kwa sasa

USSR
Akili zako zina upenyo zinavuja
 
Nipo Biharamulo hapa hakuna jipya alilofanya narudia tena hakuna kazi kuonekana usiku stand akigawa soda na kahawa mpuuzi Yule mbayaa zaidi alikuja kugombea tu hapa si mkazi wa huku kabisa
Kwani kuwapa watu soda ni ujinga ,huyu ni mkazi wa biharamulo wa kuzaliwa ulitaka aje aishi na mkeo

USSR
 
Hebu elezea ameilifanyia nini jimbo lake mpaka hivi sasa!??
Kazi za mbunge ni nyingi kuanzia kutoa gari la kazi jimboni hadi miswada ya maendeleo

USSR
 
So hizo akili za kujua mambo madogo ndio msingi wa wajinga

USSR

Sasa wewe kipi kikubwa ulichojua yaan wewe huna akili kama unaweza kusema biharamulo inapata maendeleo na nina uhakika nyie ndio wale mnaokaa kwenye vijiwe vya kahawa pale sokoni... wilaya inayozidiwa na kakonko
 
Hakuna mbunge halali wa CCM wote bao la mkono, uchaguzi uliibwa na CCM nchi nzima
 
Nipo Biharamulo hapa hakuna jipya alilofanya narudia tena hakuna kazi kuonekana usiku stand akigawa soda na kahawa mpuuzi Yule mbayaa zaidi alikuja kugombea tu hapa si mkazi wa huku kabisa
Wewe utakuwa umevurugwa mtu kwao ni hapo amesoma hapo unasema sio mkazi

Watuwanaogawa soda na maji hawatakiwi kuwa viongozi

USSR
 
Sasa wewe kipi kikubwa ulichojua yaan wewe huna akili kama unaweza kusema biharamulo inapata maendeleo na nina uhakika nyie ndio wale mnaokaa kwenye vijiwe vya kahawa pale sokoni... wilaya inayozidiwa na kakonko
Wakitoka vijiweni wewe unaona sio wapiga kura

USSR
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom