Katiba yetu ni ya ki war lordism. Ni jungle justice. Natural justice. Kariba yetu imeandikwa na Charles Darwin. It is about survival of the fittest. The leader can be challenged at any time. Kama...
Kwa sasa Serikali ya Tanzania hasa Bara kuna wasaliti flani ambao ni wahaini hawana utii sio tu kwa mamlaka bali hata kwa kiongozi mkuu wa nchi. Ni wazi kuwa ile dhana inayoogopwa ya government...
Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania,
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi...
Wakuu,
Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri...
Wapinzani wa Tanzania wangekuwa Imara, wanajitambua na hawana Unafiki wala Njaa nina uhakika tena wa 100% kuwa huku Kupishana kwa Kauli kwa Mpenda Kukopa hovyo na Watanzania mtajijua Wenyewe (...
Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba...
Watanzania sasa wamepata uhakika wa nini bunge linafanya.
Kupitia spika wa bunge Job Ndugaye amesema kuwa tozo zote zilipitishwa na bunge kwa ulazima.
Watanzania watake wasitake miamala lazima...
MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA NGORONGORO
Jumla ya Wapigakura Waliojiandikisha mwaka 2020 walikuwa ni 115,538
Jumla ya wapigakura Waliopiga kura kwenye marudio ya Uchaguzi wa Jimbo la...
Salamu za pole kwa waafrika kusini lazima zitazua gumzo maana Rais Chief Hangaya kaandika tu Bishop Tutu wakati wenzake wote duniani wameanza na cheo chake Archbishop yaani Askofu mkuu, angalia...
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya...
Mtumishi wa Allah mwenye Ushawishi Mkubwa kwa Waislam wa Nchi za Maziwa Makuu Sheikh Ponda Issah Ponda , leo amemtembelea Freeman Mbowe gerezani ambako amedai kupewa ujumbe Maalum na ameombwa...
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mh. Abbas Juma Kayanda, ameongoza viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kupokea Vyumba vya Madarasa 85 vilivyokamilika kwa asilimia 100%.
Katika Hafla...
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo ameendelea kuipa kipaumbele Mkoa wa Dodoma katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,John Mongela, amechukizwa na kitendo alichokifanya mkurugenzi wa wilaya ya Ngorongoro,Jumaa Mhina kwa kukaidi agizo lake na kuamua kwenda Likizo wakati akijua changamoto ya...
Moja ya kauli ya Rais siku ya kushuhudia utiaji Saini za ujenzi wa reli ya kisasa ni hii
"Kuna mambo yameanza kujitokeza siku zi hivi karibuni lakini hukuwai kuyaona siku za nyuma enzi za...
Hapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie:
Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
Ukiona tu walioko Juu Wanapishana ( hasa kwa Kauli zao ) jua Kwanza Dhambi Kuu ya Unafiki dhidi ya aliyelala 'mazima' Ziwani inaanza Kuwatesa lakini pia ni dalili tosha kuwa sasa 'Wanawindana' na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.