Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya nchi kupita kwenye majonzi na uzoefu tofauti wa kufiwa na rais aliyeko madarakani yaani hayati Magufuli. Sasa ni dhahiri wapinzani wake wameshaelewa utawala wa Samia. Kama ilivyo kwa...
2 Reactions
3 Replies
867 Views
Wakuu ningependa kujua hili na kupendekeza kama inawezekana serikali yetu chini ya utawala wa Mheshimiwa raisi wetu Inaonaje mkopo unaokuja au wanaofikiria kukopa watukopee kwanza sisi wananchi...
2 Reactions
5 Replies
911 Views
Baada ya RPC wa kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Murilo kutoa mwongozo wa kuhojiwa kwa Mtume na Nabii Mwingira ndani ya Masaa 24 , baada ya kauli yake ya kishujaa iliyofichua uozo uliotendwa...
13 Reactions
72 Replies
6K Views
Ukweli ulio wazi ni kuwa maraisi wote walipingwa vikali ndani na nje ya chama Wala Samia sio wa kwanza na hatakua wa mwisho. Nyerere alipingwa, Mwinyi alipingwa tena hadi ma Nyerere ambae...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hapa namaanisha kodi halali sio ya uonevu! Hakuna taifa lolote linaloweza kufanikiwa bila kuwa na sera na taasisi imara ya kusimamia kodi na ukusanyaji wake! Kauli ya mama Samia kipindi...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Wananchi wilayani Nachingwea mkoani Lindi waliouziwa ardhi katika vijiji mbalimbali kuanzia mwezi Juni 2020 mpaka Disemba 2021 wametakiwa kurudisha Ardhi hiyo kwani mauziano hayo ni batili. Kauli...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa speed hii wanayokwenda nayo, nashawishika kuamini kuwa Bado siku chache sana tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya..... Wenye chama Chao watajitokeza mapema tu, hakika vita vya panzi...
12 Reactions
27 Replies
3K Views
Kiukweli kwa sasa tumebakia na jina la CCM ila itikadi na misingi yake ilishapitwa na wakati ndio maana Nyerere aling'atuka. Kikwete alijaribu kuiunda upya CCM kwa kuivua gamba lakini...
0 Reactions
4 Replies
746 Views
Bila shaka Ndungai alidhamiria kusema alichosema kwa kuisema serikali. Nnadhani Sasa SSH aanze kusuka watu watakaoliongoza Bunge muda si mrefu, au baada ya uchaguzi wa 2025, Tulia, kaa kwa...
0 Reactions
8 Replies
797 Views
Kumekuwa na taarifa juu ya deni la taifa kufikia Trillion 70+ Spika wa bunge amesikika akisema deni la Taifa limefikia Trillion 70, Zitto Kabwe nae alidai adi kufikia mwezi February 2021 deni la...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ishara zinaonesha kuwa soon mihimili yote mitatu inaweza kuwa chini ya akina mama hodari, kwa sasa wawili washapatikana, watatu atakuwa nani? Namaanisha hii judiciary wingi mbona kama wako rigid...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia. Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi. Ametoa rai hiyo kupitia...
7 Reactions
90 Replies
7K Views
Saa chache baada ya kauli ya Spika Ndugai kusambaa mitandaoni akidai mikopo haifai kwa Serikali, wasomi na wanazuoni wa masuala ya uchumi wameshangazwa na kauli ya Mh.Ndugai kuwa haiakisi fikra...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Mama Samia kama Rais ameanza kuchukua hatua zake mwenyewe kuona maendeleo ya nchi yanasonga mbele. Kimsingi, Mama Samia kaweka utu wa Mtanzania mbele, na kuhakikisha hakuna maonezi ya kubambikwa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Hakika lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja. Mbunge mstaafu wa cuf jimbo la kilwa alitabiri haya yanayotokea sasa hivi ndani ya ccm na bungeni . Wana nyukana vya kutosha sana kulingana na...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Yalisumbua maji kidogo kelele zikaanza ooh maji maji kama kwamba huko nyuma hayakuwahi kusumbua. Ukasumbua umeme zikaanzishwa threads zaidi ya 50 dhidi ya Makamba kelele kila kona Saivi umeme...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Nashangaa mno!! Ambao wanabeza utawala wa JPM ni watanzania ambao kwa Sasa wanaunga mkono juhudi za Mama! Kinachonistaajabisha ni kwamba, kila wanapomtetea mama yao, statementi yao ni "...mbona...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Abuu Kauthar Mama kachefukwa kaamua atapike shombo. Nukuu yake imetembea mno mitandaoni kwa sababu moja tu: Inaashiria mambo si shwari huko serikalini na katika chama. “Kuna makundi...
9 Reactions
70 Replies
8K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji Jacob Casthom Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage ambaye amemaliza muda wake...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukitembelea vituo mbalimbali vya kutolea huduma za afya nchini utakutana na mambo makubwa mawili. Kwanza ni mlundikano wa wagonjwa,na pili ni uhaba wa madawa na vifaa tiba. Zaidi ya robo tatu ya...
3 Reactions
12 Replies
810 Views
Back
Top Bottom