Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ndio wakati ambao mbunge wa Mtama Nape Nnauye anapaswa kuishikia bango hoja yake ili mkopo wote wa tsh 82 trillion uliokopwa kuanzia awamu ya 1 hadi ya 6 ifikishwe bungeni kwa mjadala wa WAZI...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Naomba kuweka wazi mimi ni shabiki, mkereketwa, number one fan wa Rais Samia Suluhu Hassan. Nampenda haswa ile kindakindaki. Naumia sana MTU yeyote anapomkosoa kwa chuki, anapomkejeli...
13 Reactions
78 Replies
5K Views
Tusikubali kufungwa vinywa, tuelezwe kama Rais Samia anasafiri ndio maana tumeweza kupata mikopo je Magufuli alisafiri usiku kwenda kukopa na kurudi usiku pasipo wasaidizi wake kujua? Kama sio...
18 Reactions
79 Replies
5K Views
Hakika ninawaambia, wanaccm mliopo madarakani hivi sasa hamko salama endapo msipoushuguhulikia mgawanyiko huu wa kitaifa. Kuna nyakati tuliheshiana, tulibishana na kupinganga kwa hoja tu lkn...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kumekuwa na minong'ono ya hapa na pale kuwa watu/wanasiasa Wengi wamekuwa waongeaji tofauti na ilivyokuwa katika utawala wa Magufuli, na kwamba sababu kuu ni kwasababu aliyepo madarakani ni...
1 Reactions
2 Replies
741 Views
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani. Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na...
13 Reactions
72 Replies
7K Views
Kuna kundi wanajiita wenye CCM. Hawa ni watoto wa wakubwa wastaafu. Wanaojiona kana kwamba chama ni mali yao. Nawasihi sana wote wanaoitakia mema Tanzania wawakemee hawa watu. Hivi karibuni...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Friends and Our Ugly Enemies, People like Ndugai,hata wakitokea wakafanya jambo lenye tija,hawawez Tena kuaminika na mtanzania yyte mwenye akil timamu,it's unfortunate ndo hivyo ameshakuwa...
34 Reactions
138 Replies
8K Views
Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job...
24 Reactions
101 Replies
7K Views
Deni la taifa limekuwa wimbo mpya hasa kwa ccm wenyewe na sasa sisi wapinzani wacha tuimbe chorus maana bila chorus nyimbo huwa hainogi. Deni limefikia trilion 82 wakati watanzania kwa makadirio...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hiki ni kichekesho, inamaana hata reli yenyewe haijakamilika tayari mkopo wake umeshaanza kulipwa? hivi vitu walikua wanafanya wasomi au?
0 Reactions
19 Replies
956 Views
"Mtu anayesema nchi itapigwa mnada ni wakuombewa tu. Kwanza ni terminology [istilahi] ya kihuni."- Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Dk Anthony Diallo
0 Reactions
3 Replies
581 Views
Hata ukikopa utalipa na hela yako. Fedha za mikopo ni hela zako pia. Nilikuwa nikiwakataza wanafunzi wa vyuo wasiziite boom pesa wanazokopeshwa na bodi ya mikopo na kuzitumia ovyo maana hizo ni...
1 Reactions
0 Replies
512 Views
Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani. Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa...
46 Reactions
149 Replies
11K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo anaapisha jumla wa Mawaziri 21 baada ya kuwa tayari ameshawaapisha Mawaziri Mawili ambao ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt...
5 Reactions
158 Replies
18K Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Iddy Kimanta amesema kuwa mwili wa aliyekuwa katibu Tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega aliyefariki jana kwa ajali ya gari, utaagwa kesho katika uwanja wa mpira wa Sheikh...
2 Reactions
92 Replies
12K Views
Back
Top Bottom