Igweeeeee
Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo...
Ninaifananisha kauli ya Mhe. Ndugai kuhusu deni la taifa na hadithi hii niliyoghani. Vumilia usome mwanzo mwisho utapata cha kujifunza kwa nchi zetu hizi maskini.
Taifa moja maskini sana duniani...
Halafu sijui ni nani anakudanganya kuwa Mipango na Mikakati yako ambayo unaifanya Kisiri na Kuwatumia mpaka Kuwatanguliza hao Watu wako haijulikani.
Fanya Kazi acha Tamaa ya Urais wa Tanzania...
Panapoukweli uwongo hujitenga.
Ndio maana mihimili mikuu ya dora ni mitatu nayo ni Serikali, Bunge na Mahakama.
Mihimili hii kikanuni na ukweli inapaswa kufanya kazi kwa uhuru, bila kuingiliana...
Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-
1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka...
Kila dereva anajua kwamba kuendesha chombo chochote kuna mambo mawili makuu
(a)Kukifanya kiongeze mwendo wake kwenda mbele
(b) Kukisimamia kisitoke kwenye njia yake rasmi.
Leo hii anasimama mtu...
Siku za karibuni, wengi wameshuhudia Ndugai akijitahidi sana kuikosoa Serikali, kwa kiasi kikubwa, katika mambo ambayo siyo makubwa kama yale mambo mabaya aliyoyafurahia wakati wa utawala...
Najua Zitto Kabwe atatoa salamu kwa niaba ya vyama vya upinzani lakini siyo rahisi kumtenganisha Zitto Kabwe na CCM.
Hivyo nakutuma bwana mdogo Pambalu umtembelee Freeman Mbowe gerezani leo na...
Andiko hili na walione wahusika.
Pamoja na siasa zetu za kunyukana mara Sukuma gang,Msoga na wana kuupiga mwingi lakini kama Nchi tutambue tunalo tishio lililo bayana kabisa la yule 'dogo'...
Kila nikitazama mijadala kwenye mitandao ni kama wapinzani bado wapo kwenye mapambano na hayati Magufuli.
Rais na mwenyekiti wa sasa wa CCM mama Samia ni kama hawana tatizo naye, anawakosha sana...
Rais sema nao hao, wamevuruga biashara za watu zaidi ya mia mbili wa mji mdogo (kijiji kilichochangamka) wa Usagara na hawajawapa maeneo mbadala ya kufanyia biashara licha ya eneo kuwepo...
Siku nikiulizwa UONGOZI NI NINI? Kwa umri wangu kwa kuwa nimeshuhudia toka akiwa naibu waziri na waziri kwa kipindi chote na hatimae kuwa Rais wa nchi yangu Tajiri Tanzania jibu langu ni JPM...
Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Habari wana Jamii wenzangu.....
Nimejitokeza kwa mara ya kwanza katika jumuia hii nikiwa na mtazamo binafsi kwa haya yanayotokea katika serikali yetu haswa Chanzo chake kikiwa ni Deni la Taifa...
Habari zenu wanaJF!
Ikumbukwe kuwa Mheshimiwa Rais alishinda Urais na kuiwezesha CCM kushinda dhidi ya vuguvugu kali la upinzani kwa kuwa ni muadilifu na mchapa kazi.
Wananchi waliisamehe CCM...
Mgombea urais wa Kenya anayeungwa mkono na wananchi wengi nchini humo mh Raila Odinga amesema yeye alikuwa ni Mshauri wa aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Magufuli.
Raila amesema Magufuli aliweza...
Kutokana na fedha nyingi kupeleka Tarura na kujenga madarasa nitaendelea kufanya kazi kwa spidi.
Aidha hapa Mbagala mmeomba wilaya, naomba niwaahidi kuwa maombi ni mengi lakini kwasasa...
Mh.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikikupendeza mteue Dr. Isaac Maro akusaidie kwenye serikali yako kwani ameiva vya kutosha kwenye utendaji akiwa na ujuzi na elimu...
"The Elders" ni kundi lenye viongozi wastaafu mashuhuri ambalo liliasisiwa na Mzalendo wa kweli wa Afrika,Tata Madiba mnamo mwaka 2007 kwa lengo la kushauri kuhusu migogoro,haki za binadamu,amani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.