Vita ya Ndugai ni Dodoma vs Dar es salaam

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Binadamu tumeumbwa kuwa na kinyongo kwa wale ambao tunahisi hawatufanyii mazuri

Saikolojia ya Spika Ndugai imeathirika baada ya SSH kufanyia shughuli nyingi za kitaifa Dar es salaam kuliko Dodoma tofauti na mtangulizi wake

Ndugai ametumia kigezo cha mikopo kumshambulia lakini mikopo hii ilikuwepo tangu mwendazake akiwepo na hakusema,kwa nini hakusema? Ni kwa sababu mwendazake ametimiza ndoto za Dodoma kuwa makao makuu ya nchi baada ya serikali kuhamia Dodoma

Mama ameingia madarakani shughuli zikarudi Dar es salaam kitu ambacho kinamuumiza Ndugai kisaikolojia na amewahi kuhoji "Kwa nini viongozi wa serikali hawakai Dodoma?

Mama SSH kinachokuumiza siyo mikopo ni kwa nini shughuli zote za serikali hazifanyikii Dodoma kama alivyokuwa anafanya mwendazake?

Wadau hii nadharia unaiunga mkono au la!
 
Saikolojia ya Spika Ndugai imeathirika baada ya SSH kufanyia shughuli nyingi za kitaifa Dar es salaam kuliko Dodoma tofauti na mtangulizi wake - wala sidhani kama ni ukweli Mh. Magufuli alitumia muda mwingi Dodoma, kuna vikao vingi sana vilifanyika Dar, wageni wengi tu walipokelewa Chato, na muda mwingi tu raisi alikuwa Chato bila maelezo yoyote. Leo kwa nini Mama akiamua kufanyia kazi Dar ambapo ndiyo ikulu iliyokamilika kwa upande wa miundombinu iwe nongwa?
 
Hili jambo ni gharama kwa Taifa.

Rais achague mahali atapofanyia shughuli zake.

Kila mara kuchoma mafuta kwa gharama ya nani??

Si sisi wananchi??
 
Rais anakaa popote
Nauliza Chato na dar wapi ni ghataka kubwa
Au mmesahau
 
Hili jambo ni gharama kwa Taifa.

Rais achague mahali atapofanyia shughuli zake.

Kila mara kuchoma mafuta kwa gharama ya nani??

Si sisi wananchi??
Shughuli zilipokua Chato hamkujali nyie mapimbi.
 
Mji wa Dodoma una changamoto nyingi sana.Mimi binafsi sishauri Dodoma iwe mbadala wa Dar .Issue ya kuipendelea Dodoma imekaa kisiasa zaidi kuliko kiuhalisia.Dodoma tuwaachie wanasiasa na maamuzi yao ya kiduanzi.Mjanja yeyote lazima aipe kipaumbele Dar.
 
Ndugai kwenye hili la deni kubwa sana kuielemea nchi ameonesha umahili mkubwa wa jinsi ambavyo Bunge linapaswa kufanya kazi na kuwa na misimamo kama mhimili huru.

Ndugai popote ulipo ujue unanidai thoda

Nikija Dom nitakutafuta InshaAllah!
 
Saikolojia ya Spika Ndugai imeathirika baada ya SSH kufanyia shughuli nyingi za kitaifa Dar es salaam kuliko Dodoma tofauti na mtangulizi wake - wala sidhani kama ni ukweli Mh. Magufuli alitumia muda mwingi Dodoma, kuna vikao vingi sana vilifanyika Dar, wageni wengi tu walipokelewa Chato, na muda mwingi tu raisi alikuwa Chato bila maelezo yoyote. Leo kwa nini Mama akiamua kufanyia kazi Dar ambapo ndiyo ikulu iliyokamilika kwa upande wa miundombinu iwe nongwa?
Tuseme ukweli wasasa anapapenda Dar Sana, tulikubaliana Dodoma ndo makao makuu, kitendo Cha KILA WAKATI Dar kinawanyima hata watendaji utulivu, na kurudisha juhudi za kimkakati katika endeleza makao makuu
 
Binadamu tumeumbwa kuwa na kinyongo kwa wale ambao tunahisi hawatufanyii mazuri

Saikolojia ya Spika Ndugai imeathirika baada ya SSH kufanyia shughuli nyingi za kitaifa Dar es salaam kuliko Dodoma tofauti na mtangulizi wake

Ndugai ametumia kigezo cha mikopo kumshambulia lakini mikopo hii ilikuwepo tangu mwendazake akiwepo na hakusema,kwa nini hakusema? Ni kwa sababu mwendazake ametimiza ndoto za Dodoma kuwa makao makuu ya nchi baada ya serikali kuhamia Dodoma

Mama ameingia madarakani shughuli zikarudi Dar es salaam kitu ambacho kinamuumiza Ndugai kisaikolojia na amewahi kuhoji "Kwa nini viongozi wa serikali hawakai Dodoma?

Mama SSH kinachokuumiza siyo mikopo ni kwa nini shughuli zote za serikali hazifanyikii Dodoma kama alivyokuwa anafanya mwendazake?

Wadau hii nadharia unaiunga mkono au la!

Na kwanini ziwe dar na sio Dodoma?
 
Back
Top Bottom