Tamko la wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
🔰 TAMKO LA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

🟢 Leo Tarehe 5 Januari,2022 kuanzia Saa 5:00 Asubuhi

🟢 Eneo Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam

#NyukiWaMama

IMG-20220105-WA0009.jpg
 
Poor Ndugai, ulikosea sana kuomba msamaha ona sasa opponent(s) wako (mama na chawa wake) wanavyoenda kukumaliza

Speaker ni mtu mzito sana, sio wa kuomba msamaha kirahisi rahisi (kizembe zembe), ulipaswa kuendelea kuwa nunda (kuvimba) hata kama ungelikuwa umekosea kweli, kitendo chako cha kuomba msamaha kimempa nguvu Chief Hagaya.... hukujifunza hata kwa Marehemu Samuel Sitta!?! Aliyekuwa nunda kwa JK
 
Poor Ndugai, ulikosea sana kuomba msamaha ona sasa oppornent(s) wako (mama na chawa wake) wanavyoenda kukumaliza...
Angenyang'anywa kadi ya uanachama na uspika ungekoma. Baada ya hapo ukumbuke kuna kufilisiwa hasa zile mali alizopata kwa njia zisizo halali. Kuna kesi za uhujumu uchumi zingemfuatia.

Ameona mbali sana kwa kuja kutubu mbele ya hadhara kabla mambo hayajamwaribikia. Baadae mngeanza kumcheka unajua sisi Watanzania ni wanafiki sana
 
Poor Ndugai, ulikosea sana kuomba msamaha ona sasa oppornent(s) wako (mama na chawa wake) wanavyoenda kukumaliza

Speaker ni mtu mzito sana, sio wa kuomba msamaha kirahisi rahisi (kizembe zembe), ulipaswa kuendelea kuwa nunda (kuvimba) hata kama ungelikuwa umekosea kweli, kitendo chako cha kuomba msamaha kimempa nguvu Chief Hagaya....hukujifunza hata kwa Marehemu Samuel Sitta!?! aliyekuwa nunda kwa JK
Hayo ndio malipo ya unafiki
 
... huwa wanasikilizia msimamo wa mwenyekiti kwanza halafu matamko yao yanakuwa na uelekeo huo huo. Ukifanya correlation analysis unapata the maximum possible (+1) ; yaani perceptions zao ni completely sawa na za mwenyekiti! Very funny!
Umelenga mule mule hawa watu cjui wapoje aisee huwa wanaenda na upepo wa mwenyekiti wao
 
CCM mnaenda kufanya kosa mtakalojutia milele.
Mimi nasimama na Ndugai kulinda haki yake;

. 1. Kama raia kutoa mawazo yake hta kama ni pumba, katiba inampa uhuru huo
.
. 2. Kama spika Muhimili unaojitegemea anaweza ku CHECK AND BALANCE of executive order. Na anao huo wajibu na Haki kwa pamoja.

Mkifunga Mhumili moja mjiandae na Mahakama utadhibitiwa.

Logically ita display ya kuwa mama anataka kuwa DICTATOR.! (?)
 
Back
Top Bottom