Wakuu ,, kwanza kabisa nimpe hongera aliyekuwa Spika wa Bunge, Bwn. Job Ndugai kwa kuzingatia maslahi mapana ya nchi yetu na kuamua kujiuzuru ili ainusuru nchi yetu!
Niseme tu, huyu ndugu...
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Hili ni kundi ambalo halijatosheka na damu liliyokunywa, na tayari limeanza kujipanga kunywa damu zaidi ya watanzania, kutupa miili yao baharini, kupoteza raia kwa njia ya kuteka kwa magari aina...
Bwana Shaka msemaji wa CCM Taifa ilitarajiwa angekuwa na kikao na wanahabari, lakini kwa mshangao wa wengi press conference imesogezwa mbele.
Ni dhahiri mada kuu ni mustakabali wa Spika wa Bunge...
Mheshimiwa katika kumnanga mkuu wa mhimili wa Serikali ambaye amemchefua, ameonesha wazi kwamba agenda ya 2025 imetanda kwenye fikra zake, na hivi taarifa zinazomfikia ni kwamba endorsement ya...
Miaka yote imf na world bank hawajahi kufinance nchi maskini ili wapate urahisi wa elimu,nishati na afya.ukishaingia kingi lazima tutarajie kuondolewa kwa elimu bure muda si mrefu...hili la umeme...
Kuna mtu anaweza dadavua kwanini inatumika nguvu kubwa sana kutetea hii mikopo kwa Tanzania, kuna nini kimejificha nyuma yake!?
Ndugai ni kama anajutia kabisa kuongelea mikopo kwa sababu mama...
MHE NDUGA, SPIKA MSTAAFU ALIVUNJA MILA NA DESTURI ZA CCM NDIYO MAANA WENGINE IMEWACHUKUA MDA KUELEWA.
Na Elius Ndabila.
0768239284
Kwanza nianze kwa kumpongeza Mhe Ndugai kwa kujiuzulu nafasi ya...
Hakuna kauli ya bahati mbaya au jambo la bahati mbaya, Haya yote humtoka mtu moyoni kwani ndio moyo wake umeyajaa yamtokayo
Refer:Uzi wa Pascal Mayalla Unaoongelea Powers of karma na Nguvu za...
Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge...
Askofu Gwajima yuko mubashara akimchambua Spika Ndugai na mapungufu yake kutokana na ksdhia ya mkopo inayoendelea.
Askofu Gwajima amesema mkopo wa tsh 1.3 trillion ulipelekwa bungeni na...
Nianze kwa kumshukuru Nape Nnauye kwa kutoa hoja iliyomtoa nyoka pangoni. Kwa muda sasa Watanzania wamekuwa wakijiuliza ni lini spika atajitokeza na kutoa kauli juu ya wabunge hao 19 wasio na...
Gwajima kwenye press conference yake leo amesema mwanzoni alipomsikiliza Ndugai aliona ni kama hoja vile. Akamtumia Ndugai text “this is Ndugai I know”. Ndugai akamwambia mtani mimi nimechanja...
MASKINI AKIKOPA KAPATWA, TAJIRI AKIKOPA KAPATA
Na. M. M. Mwanakijiji
Tuangalie ukweli wa hoja hii na tulinganishe nani yuko karibu zaidi na hili kati ya wanaotetea mikopo isiyoulizwa na wale...
Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli .
--+
Inasikitisha sana kuona wanapiga ngoma mitandaoni lakini ngoma ile inachezwa...
Nimewasikia UVCCM wengi wakishinikiza Spika ajiuzulu lakini sioni hoja nzito wanatoa kumfanya kiongozi wa Muhimili ajiuzulu zaidi ya kusema amepingana na Rais ambaye ni Mwenyekiti wake. Kosa lake...
Kuna mwanafalsafa aliwahi sema “Hakuna hatari kubwa kama mamlaka/madaraka kuangukia mikononi mwa watu wenye akili ndogo!”
Ni wazi nchi yetu imevamiwa na spirit of destruction!! Roho ya uharibifu...
Ndugai asiposikia tena hili ndo basi tena. Sauti ya leo ni sauti ya mwisho na asipoelewa atakuwa na tatizo la akili. Wananchi wamesema kwa muda mrefu, wataalamu wamesema, viongozi wa dini...
Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Mimi naanza ya langu
Udhaifu ninaouona ni kila mbunge Wa CCM kusimama na kuisifia Serikali na kilanja mkuu wakati sio wajibu wao.
Natamani ifikie hatua...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.