Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Mimi naanza ya langu
Udhaifu ninaouona ni kila mbunge Wa CCM kusimama na kuisifia Serikali na kilanja mkuu wakati sio wajibu wao.
Natamani ifikie hatua...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa...
Taratibu za kumuondoa Spika madarakani
1,Mbunge yeyote anayetaka kumuondoa Spika madarakani atawasilisha hoja kwa ibara 84(7) (d) ya katiba atawasilisha kusudio hilo na atatoa sababu
2,Baada...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete...
Nukuu ya Prof Assad wakati akiwa CAG "Kama Bunge linashindwa kusimamia serikali huo ni udhaifu wa Bunge". CAG Assad aliitwa na Ndugai kibabe Bungeni ajieleze
Swali la Pascal Mayalla: Je, Bunge...
Nimefuatilia matamko ya wenyeviti wa ccm; hotuba ya Rais Samia Jana na michango ya wana siasa na wachambuzi hakuna namna Job Ndugai jiuzulu uspika ubaki na ubunge
Matamshi ya Job Ndugai hayana...
Ndugai kama binadamu alitoa mawazo yake kwa mtazamo wake. Hata hivyo bila shaka nje ya alichokiamini, kwa nia njema alilazimika kuomba msamaha.
Pamoja na kuomba msamaha kwa nia ya kuwaridhisha...
Wanashabikia muanguko wa taratiibu wa chama chao, siye watazamaji, ila tupo upande wa ukweli bila kujali nani anasema au kuambiwa na unatolewa kivipi isipokuwa usiwe na matusi.
Rais Samia Suluhu Hassan kusema kiongozi mhimili wa Bunge kuusema mhimili wa serikali kuu yaani taasisi ya Urais ni dalili za kutengeneza mazingira ya kushindana naye katika uchaguzi wa 2025...
Ingawa zimepita siku nyingi, ila kwa kuwa nimepata Tetesi ya kuwa aliyekuwa amepewa ubunge na mwendazake huyo Bwana Gwajima anajiuzulu Kesho Sina budi kuelezea Hali niliyokuwa nayo enzi za...
Tunapiga pesa ndefundefu tunachangia vihoja...Waziri achangia sh. 15000 maafaa kwa shule iliyoezuliwa paa zake na mvua Ludewa
========================
UONGOZI wa serikali ya tarafa ya...
Mh. Job Ndugai kesha vunja ukimya.
Majibu ya mama yamesikika. Wapi kasimama Ndugai kama yeye na washirika wake kinafahamika.
Mama kasema kuna watuhumiwa wa uchaguzi wa 2025. Kwamba hao wote...
Siamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule...
Siasa si ushabiki, wala vita vya kisiasa si lelemama.
Haipo shaka aina za kina Lissu, Mbowe na wa namna hiyo ni machampioni kweli kweli.
Si haba pia kwa kina Polepole, Kinana, Makamba au kina...
Wasalaaam.
Raisi SHH ataendelea kupasua kichwa juu ya viongozi wenzake mpaka pale atakapogundua kuwa serikali anayoiongoza asilimia kubwa ya watendaji wenye maamuzi makubwa ni wa kurithi kutoka...
Hii tamaduni ya marais wa nchi kugangamara kwa kila jambo hauna afya kwa taifa.
Umeelekezwa, sikiliza. Rais sio Mungu, lazima ukosolewe ikibidi.
Lazima nchi ijifunze kujitegemea. Huwezi kuwa...
Kufuatia matamshi makali na vijembe vizito vilivyotolewa na Samia dhidi ya Ndugai kiasi cha kuleta sintofahamu na kutafsiriwa kama jambo lenye kufedhehesha na kukidhalilisha kiti cha spika wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.