Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Alikuwa akihojiwa na Dar24 na kuulizwa kuhusu minong'ono ya watu kuwa Magufuli huenda hakufariki kwa ugonjwa uliotajwa kweli na kuwa huenda aliuawa Polepole akakwepa kujibu swali hilo na kusema...
16 Reactions
99 Replies
9K Views
Kwa Hisani ya Ezekiel Wenje Hivi ndvyo Taifa linavyoingia hasara kwa kuwakumbatia wabunge 19 wasio na vyama maarufu Kama Covid-19
3 Reactions
8 Replies
940 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amedai kuwa bado hajalipwa ‘gratuity’ (bahkshishi) yake ambayo ni asilimia 40 ya mshahara wake, tofauti na kile...
4 Reactions
60 Replies
9K Views
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema anakerwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaita wabunge mazuzu na kuwataka wajenge utamaduni wa kuheshimiana. Akifungua wiki ya AZAKI jijini Dodoma Jumamosi Oktoba...
7 Reactions
172 Replies
15K Views
Kuna Msemo unasema Majira hayafwati watu, bali watu hufuata majira! Wahenga walienda mbali zaidi kwa kusema wakati ukuta, ukipambana nao utaumia. Kwako rais Magufuli, wapambe wako, wafuasi wako...
150 Reactions
103 Replies
16K Views
Kutokana na yanayoendelea hapa nchini. Ipo haja ya Rais kuvunja Serikali nzima na kuunda mpya kabisa. Kutokuaminiana na hujuma kumetamalaki. Nazungumzia Kutoka kwa PM kushuka chini. Avunje...
2 Reactions
14 Replies
949 Views
Tumeandika humu na kwingineko mara nyingi sana, labda tukumbushe tena kwamba SHETANI HANA RAFIKI, kama haitoshi tukanukuu na vitabu Vitakatifu vya Mungu kwamba MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI, lakini...
13 Reactions
69 Replies
5K Views
Spika anajiuzuru anaandika barua kwa katibu mkuu wa ccm na sio Katibu wa Bunge.Katiba haioneshi chochote. Spika anapendekezwa na mwenyekit wa chama ambaye ni mkuu wa mhimili wa dola.Katiba...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
7 Reactions
152 Replies
14K Views
Kuna watu waliishi kwa mbwembwe, majigambo, dharau, ubabe, uporaji, kuwazushia kashfa watu wengine na kila aina ya vurugu wakati wa utawala wa JPM kwakuwa walikuwa wanapewa kiburi na kulindwa...
2 Reactions
8 Replies
664 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali na alama za kuuliza nimeziweka, maana watu tusije itwa mahali kuhojiwa kuwa tumelidhalilisha Bunge. Swali lenyewe ni hili, Jee wajua Bunge linaweza kupitisha...
53 Reactions
163 Replies
21K Views
Kuna wale wabunge 19 ambao hawana chama kule bungeni maarufu km COVID 19 sijui watakuwa na hali gani muda huu. Ikumbukwe kwamba wabunge Hawa wapo bungeni kinyume na taratibu na sheria za nchi...
2 Reactions
5 Replies
772 Views
Ndugu wanabodi kuna msemo wa Wana kusini uliozoeleka, nanukuu "ukitema nchale ukimeza nchale" Ukiacha huo kuna mzee aliwahi kusema ukiona mkono umenyoshwa Kutoka gizani usiukate. Kwa misemo hii...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Mara nyingine najiuliza, hivi tatizo la migongano ya mara kwa mara kati ya wabunge na watu wengine dhidi ya Spika Ndugai na Ofisi ya Bunge kwa ujumla, tatizo hasa liko wapi? Je inawezekana kwamba...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Mbunge wa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde amemtaka Spika Job Ndugai ajiuzulu kufuatia kauli aliyoitoa kupinga serikali kuchukua mikopo. Lusinde amesema alianagalia clip yote ya mazungumzo ya...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Nafahamu kwamba spika akistaafu kwa kumaliza muda wake anapata marupurupu ya spika mstaafu ambayo asilimia 80 ya mshahara wa spika atakayekuwepo hadi atakapofariki, lump sum pensheni ya jumla ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais...
10 Reactions
91 Replies
11K Views
Wabunge 19 wa Chadema maarufu kama Covid 19 nao pia wajiandae kuondoka Bungeni kwani aliyewabeba ameondoka madarakani. Hatima yao kwa sasa itakuwa kwenye katiba , ambayo inasema wazi kabisa kwaba...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama ingekuwa katiba inazingatiwa basi 1. Ndugai alikuwa sahihi kuongea kama mhimili wenue jukumu la kuisimamia na kuikosoa serikali, ibara ya 63(2) hakuwa na kosa. 2. Kama mtu binafsi ibara ya...
1 Reactions
8 Replies
932 Views
Wakuu ,, kwanza kabisa nimpe hongera aliyekuwa Spika wa Bunge, Bwn. Job Ndugai kwa kuzingatia maslahi mapana ya nchi yetu na kuamua kujiuzuru ili ainusuru nchi yetu! Niseme tu, huyu ndugu...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom