Ndugai asisahau, kadi yake ya CCM ndio inampa uspika, CCM wanaweza kuiondoa muda wowote na akawa raia wa kawaida tu

Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Unaweza kuwa Spika hata usipokuwa mwanachama wa chama cha siasa unless kama kifungu husika cha katiba kimebadilishwa! Sema, akifukuzwa CCM, halafu 2025 akajaribu tena kugombea, kwake itakuwa ngumu kupita bila backup ya CCM
 
Ule ushauri wake ndio unawafanya muanze kuona anyang'anywe kadi?
Hivi hii nchi akili tumezipeleka wapi?
Mbona hatuna uwezo wa tafakuri?
Kwanini tusitafakari ushauri wake?
Kwanini kila kauli itolewayo ionekane ni hujuma?
Kwani hata huyo Rais kinachompa sio kadi ya CCM?
Au Katibu Mkuu wa CCM, kinachompa cheo sio kadi?
Yaani hatutaki kupewa ushauri wa tahadhari juu ya mikopo?
Kwani nchi ngapi maskini zimeshazidiwa na mikopo?
 
Yeye alidhaminiwa na chama, alivyoanza ndivyo atakavyomaliza
 
Kilimanjaro pia kashukiwa kama mwewe

Screenshot_20220101-210149.png
 
Kudhaminiwa na chama sio hoja, hoja ni matakwa ya mtu kuwa spika!! Kudhaminiwa na chama ndo hiyo backup ninayoisema lakini unaweza kugombea uspika hata kama huna chama!!
Too academic
 
Ndugai wala asiwe na wasiwasi. Akina Halima Mdee hawana kadi za CHADEMA lakini CCM imewaweka Bungeni kwa jina la CHADEMA.
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
 
Ndugai wala asiwe na wasiwasi. Akina Halima Mdee hawana kadi za CHADEMA lakini CCM imewaweka Bungeni kwa jina la CHADEMA.
Atajua kwa nini Shaolin tempo zinafundisha sarakasi, ndani ya CCM ndugai hana tofauti na mjumbe wa kikao tu, chama Cha samia
 
Ule ushauri wake ndio unawafanya muanze kuona anyang'anywe kadi?
Hivi hii nchi akili tumezipeleka wapi?
Mbona hatuna uwezo wa tafakuri?
Kwanini tusitafakari ushauri wake?
Kwanini kila kauli itolewayo ionekane ni hujuma?
Kwani hata huyo Rais kinachompa sio kadi ya CCM?
Au Katibu Mkuu wa CCM, kinachompa cheo sio kadi?
Yaani hatutaki kupewa ushauri wa tahadhari juu ya mikopo?
Kwani nchi ngapi maskini zimeshazidiwa na mikopo?
Umeongea vema, ila na yeye mbona huwa anakuaga mkali tena na vitisho juu au humwonagi? Au ni yeye pekee ndie mwenye mamlaka ya kushauri ama kukosoa ila si kushauriwa ama kukoolewa?
 
Hawa CCm hawaoni kwamba walishindwa kumuelewa Ndugai,huyu spika wanamuonea tu hakumpinga mama katika mazungumzo yake. Namshauri mama asikilize alichosema Ndugai siyo kusikiliza anachoambiwa na wanaomzunguka. Issue ya Ndugai haina tofauti na mashtaka ya Yesu aliyopelekewa Pilato
 
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Kwani wapiga wote wana card CCM muda utawahukumu
 
Unaweza kuwa Spika hata usipokuwa mwanachama wa chama cha siasa unless kama kifungu husika cha katiba kimebadilishwa! Sema, akifukuzwa CCM, halafu 2025 akajaribu tena kugombea, kwake itakuwa ngumu kupita bila backup ya CCM
Sasa atakuwaje mbunge.. akivuliwa ubunge anakuwa hana sifa ya kuwq spika
 
huu uzi ni wa ovyo sana.kila mtu ana haki ya kuchalenji na kuunga mkono lolote nchi ni ya demokrasia.spika katoa maoni yake na wala si kwamba ndo anampinga Rais.
 
Hscheni kutisha watu nyie mbea kwa kuaminishana kuwa hakuna maisha nje ya ccm,

Back
Top Bottom