Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakubwa shikamoni ,wadogo zangu hamjambo? Husika na kichwa hapo juu kinajieleza wazi kabisa, kwanza kabla ya yote nadikree interest Mimi Sina chama chochote ni raia huru maana sipendi siasa kiivo...
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Salaam Wakuu, Hivi Karibuni rais Samia alitega kitendawili na akawataka Watanzania Wategue. Kama wewe ni mtu wa kusoma na kufuatilia Siasa za Nchi ya Tanzania na bado huwezi tegua hiki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini. Ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose. Timu hii itasimama na CCM katika hali zote...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Sasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau nafasi ya Spika ndio hivyo iko wazi. Na kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba (iliyopo) mgombea nafasi ya uspika sharti apendekezwe na chama ni muafaka kwa vyama hususan vyenye wabunge kupendekeza...
1 Reactions
4 Replies
806 Views
Waswahili wanasema ukizoea vya kunyonga basi siku ukiambiwa kuchinja utaona unaonewa. Sisi wananchi wa Mbeya hatujawahi kuikubali CCM tangu tulipopatiwa option ya nini cha kuchagua kati ya chama...
28 Reactions
105 Replies
11K Views
Wote ni watesi wetu na kila mpenda haki, demokrasia na maendeleo. Ni zao la watesi wetu na hivyo hafai. Ni zao la Magufuli na sijui alimuokota wapi. Hafai hafai hafai!
13 Reactions
70 Replies
4K Views
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni. Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na...
19 Reactions
60 Replies
6K Views
Ni ushauri tu kwa Spika mzalendo Dr Job Ndugai. Halima Mdee na wenzake 18 waliingizwa bungeni kinyemela bora hata hilo deni la kupambana na madhara ya Corona la Tsh 1.3 trillion liliwekwa...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa Wazalendo Wote Nchini Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwako Mheshimiwa JOBU NDUGAI! Kama ulidhani yameisha kwa kujiuzulu Uspika basi umekosea pakubwa kwani hii...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwema Wakuu! Wote tumeshuhudia yaliyotukia. Yanastaajabisha na hata hivyo yanadhihirisha nyufa za wazi ambazo Kama taifa tunapaswa kuzifanyia mpango tuzizibe. Kilichotokea kinatukumbusha umuhimu...
1 Reactions
0 Replies
569 Views
Hela hatuna, tusikope sana ili kupunguza kutumia na madeni. Tabora ni karibu sana na Burundi, Rwanda, DRC, Mwanza na Uganda. Tujenge bandari kavu kuubwa pale Tabora ili watu wa Mwanza, Uganda...
18 Reactions
202 Replies
13K Views
Mwenye Msitu alifurahishwa na Uchawa wa Tandala, akampa uhuru, akamwambia fanya utakavyo hapa Msituni hakuna wa kukushitaki nitakulinda. Tandala akaanza kuwanyonyesha watoto wa Nguchiro mmoja...
12 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi kama Mtanzania natangaza Kumuunga kauli ya Ndugai. Kwa mambo yafuatayo. 1. Lazima tujitathimi tunataka kukopa kwa nini? Deni linapozidi kukua ni lazima bunge na spika wakemee Hilo. 2...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao? Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Wasalaam, Nimehamasika kuja na uzi tajwa baada ya kumsikia mama rais Samia akionesha kushangazwa na kusikitishwa na minong'ono iliyokuwepo bungeni kipindi kile baada ya aliyekuwa rais wa...
0 Reactions
2 Replies
636 Views
Huko bungeni vururuvururu tu!,wamejazana kijani tupu na wale kumi na tisa waliingia kimazabemazabe!. Uwazirini wengi wamerithiwa na wanaowekwa kama hawajitoshelezi,nafasi ya waziri mkuu imekuwa...
1 Reactions
0 Replies
410 Views
Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila...
11 Reactions
71 Replies
5K Views
Nimemsikia Spika wetu akibeza baadhi ya viongozi wa Upinzani na wengineo kuwa hawakufanya lolote wakiwa wabunge akiwemo Mh. Mbowe na wengine. Ati Hai sasa ndo imepata Mbunge wa kuisemea...
14 Reactions
30 Replies
3K Views
1. Alikuwa Spika wa kwanza kuuchukia upinzani hapa Tanzania. 2. Alishindwa kumlipia fedha za matibabu Lissu baada ya kupigwa risasi akiwa ktk vikao halali vya bunge. 3. Alimvua ubunge Lissu...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom