Masharti ya mabeberu

Masharti ya mabeberu

LUS0MYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
866
Reaction score
1,110
Miaka yote imf na world bank hawajahi kufinance nchi maskini ili wapate urahisi wa elimu,nishati na afya.ukishaingia kingi lazima tutarajie kuondolewa kwa elimu bure muda si mrefu...hili la umeme wa 27k lazima lina influence ya hawa jamaa...mazingira yanatengenezwa ya kulibinafsisha tanesco and then we are finished
 
Lini elimu iliwahi kuwa bure 100%?
 
Hivi mtaishi kwa kutunga mambo hadi lini we jamaa?

Fanyeni kazi achaneni na ma theory ya mitaani hayo.

Hiyo elimu unayoita bure uliipata lini? Unajua kwanini katika miaka 5 mlikopa Tr 29? Unajua zilikuwa zinafanya nini?

Hebu tulieni mfanye kazi, acha kujidanganya. Unataka mtu akusomeshee watoto wako na wewe baba mzima unapunga mikono tu. Fanya kazi tafuta hela hudumia familia yako acha wazimu
 
Miaka yote imf na world bank hawajahi kufinance nchi maskini ili wapate urahisi wa elimu,nishati na afya.ukishaingia kingi lazima tutarajie kuondolewa kwa elimu bure muda si mrefu...hili la umeme wa 27k lazima lina influence ya hawa jamaa...mazingira yanatengenezwa ya kulibinafsisha tanesco and then we are finished
Amesema "kila fursa nitakayoiona ... ya kuijenga Tanzania nitaitumia". Mazingira ya fursa hizo yanatengenezwa na anaingizwa choo cha jinsi nyingine. WAJINGA ndio waliwao
 
Miaka yote imf na world bank hawajahi kufinance nchi maskini ili wapate urahisi wa elimu,nishati na afya.ukishaingia kingi lazima tutarajie kuondolewa kwa elimu bure muda si mrefu...hili la umeme wa 27k lazima lina influence ya hawa jamaa...mazingira yanatengenezwa ya kulibinafsisha tanesco and then we are finished

Mtamkumbuka JPM na bado…
 
Hivi mtaishi kwa kutunga mambo hadi lini we jamaa?

Fanyeni kazi achaneni na ma theory ya mitaani hayo.

Hiyo elimu unayoita bure uliipata lini? Unajua kwanini katika miaka 5 mlikopa Tr 29? Unajua zilikuwa zinafanya nini?

Hebu tulieni mfanye kazi, acha kujidanganya. Unataka mtu akusomeshee watoto wako na wewe baba mzima unapunga mikono tu. Fanya kazi tafuta hela hudumia familia yako acha wazimu

Tulia wewe acha kupotosha watu…

Elimu bure inawezekana Tanzania ni tajiri…mnajilemaza na mikopo hapa wakati rasilimali zimewazunguka…mnawaachia mabeberu wana dictate terms…nchi itapigwa mnada wala si uongo…
 
Eti Tanzania ni Tajiri. Kaa jidanganye hivyo hivyo.

Hebu omba Mungu akujaalie siku moja utoke uzunguke duniani alafu urudi uandike hivi tena
 
Huwa naenda si chini ya mara sita kwa mwaka
 
Miaka yote imf na world bank hawajahi kufinance nchi maskini ili wapate urahisi wa elimu,nishati na afya.ukishaingia kingi lazima tutarajie kuondolewa kwa elimu bure muda si mrefu...hili la umeme wa 27k lazima lina influence ya hawa jamaa...mazingira yanatengenezwa ya kulibinafsisha tanesco and then we are finished
Tusiwasingizie mabeberu juu ya matatizo yetu
 
Eti Tanzania ni Tajiri. Kaa jidanganye hivyo hivyo.

Hebu omba Mungu akujaalie siku moja utoke uzunguke duniani alafu urudi uandike hivi tena
Ndio ktk tano bora duniani ni tajiri wa raslimali .
Madini tu yaliyopo wilaya moja tu ya tza yanatosha kulipa deni la taifa lote na chenji
 
Ooooh Sawa kabisa Boss. Hongereni sana

Ni wilaya gani hii?
 
Hivi mtaishi kwa kutunga mambo hadi lini we jamaa?

Fanyeni kazi achaneni na ma theory ya mitaani hayo.

Hiyo elimu unayoita bure uliipata lini? Unajua kwanini katika miaka 5 mlikopa Tr 29? Unajua zilikuwa zinafanya nini?

Hebu tulieni mfanye kazi, acha kujidanganya. Unataka mtu akusomeshee watoto wako na wewe baba mzima unapunga mikono tu. Fanya kazi tafuta hela hudumia familia yako acha wazimu
Yani unataka kutuaminisha kuwa tanzania haiwezi kisonga mbele bila mikopo si ndio!!??
 
Miaka yote 60 ya uhuru tunaomba omba na kukopa kopa. Muujiza gani utatokea tuweze bila kusonga mbele bila ya mikopo?
 
Hadi sasa deni la taifa lingekuwa tilioni 100

Hata lingefika dollar 1trillion sio tatzo, ila “mwenzetu ndani ya miaka 5 ya urais wake kazi kubwa ukilinganisha Na miaka yetu 30 ya awamu tatu” in Mwinyi’s voice! Sio unakopa unajenga tudarasa wakati mwenzio anakopa anajenga Stigler, SGR, midaraja, Mji wa Kiserikali Dodoma, Mi Ikulu ya Rais, Mifly over, mijibarabara kila kona n.k nyie mnakopa nusu mnapeleka Makunduchi ndo nini?
 
Eti Tanzania ni Tajiri. Kaa jidanganye hivyo hivyo.

Hebu omba Mungu akujaalie siku moja utoke uzunguke duniani alafu urudi uandike hivi tena
Amesema Tanzania inaraslimali nyingi kwani uongo!
 
Back
Top Bottom