Wale wabunge wasio na Chama Bungeni-COVID 19 sijui hali yao itakuwaje.

This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,903
4,979
Kuna wale wabunge 19 ambao hawana chama kule bungeni maarufu km COVID 19 sijui watakuwa na hali gani muda huu.

Ikumbukwe kwamba wabunge Hawa wapo bungeni kinyume na taratibu na sheria za nchi.

Ndugai huyu huyu kwa nguvu za mwendazake ndiyo aliwaingiza bungeni kimchongo.

Je spika ajae ataendelea kuwatambua? Na ikiwa sheria zitafuatwa na kuondolewa bungeni,je,watarejesha mishahara,posho na masurufu yote waliyolipwa?

Maandiko matakatifu ya biblia yanasema ole wake yeye amtegemeaye mwanadamu.
 
0717744780 namba ya halima mdee hiyo mpigie muulize
 
Kikubwa kila wakiingia mjengoni wavae barakoa mpaka muda wa kutoka wasimuudhi yule bibi alobaki
 
Wale wako na wataendelea kywa salamaa kwa kuwa hata spika mpya anaekuja hawezi kuwa kinyume na wanaccm Kumbuka ule ni mpango na makubaliano ya ccm yote coz hata wale wabunge 19 wa covid ukizingatia wote sasaivi hakuna mtu wa kuhoji wala kukosoa rais wote ni kusifu na kuabudu na kujipendekeza wakita teuzi hata kama rais akikosea hayupo wa kuhoji ndo maana umeona Spika amekosoa kidogo tu ameandamwa na wanaccm wote
 
Kuna wale wabunge 19 ambao hawana chama kule bungeni maarufu km COVID 19 sijui watakuwa na hali gani muda huu.

Ikumbukwe kwamba wabunge Hawa wapo bungeni kinyume na taratibu na sheria za nchi.

Ndugai huyu huyu kwa nguvu za mwendazake ndiyo aliwaingiza bungeni kimchongo.

Je spika ajae ataendelea kuwatambua? Na ikiwa sheria zitafuatwa na kuondolewa bungeni,je,watarejesha mishahara,posho na masurufu yote waliyolipwa?

Maandiko matakatifu ya biblia yanasema ole wake yeye amtegemeaye mwanadamu.
WANALINDWA na Chama cha Mapinduzi
 
Back
Top Bottom