CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
May 13, 2018
439
742

Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama.

CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi hiyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM.

Kauli hii ya CCM imetokana na kauli kinzani zinazotolewa na baadhi ya makada wake katika masuala ambayo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT amekwishayatolea maelekezo ikiwemo suala la tozo na COVID-19.

Shaka Hamdu Shaka,
Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi.
 
Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama...
Wachache sana wataielewa siasa ya CCM

CCM Akili kubwa nguvu kidogo😃😃😃😃
 
Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama.

CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote ambao wanatumia nafasi hiyo kusukuma ajenda zao binafsi, kwa mujibu wa Katiba, kanuni za maadili na uongozi za CCM

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi.

IMG-20210726-WA0029.jpg
 
Hayo mapesa ya wazungu mliyokula ni bora myatapike.

Watanzania hawataki kudungwa michanjo ya hovyo hovyo ya kuokoteza.

Huyo mwenyekiti wenu uchwara akikosea anakoselewa tu. Kwani ye' nani mpaka asikosolewe?

Kibibi chenyewe goigoi hakiwezi hata kuongoza.

Mabeberu wameki-fix kimeshafyata mkia!

Kwendeni huko na kibibi chenu hiko! Kidalali cha machanjo ya mabeberu!
 
Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama...
USIMTISHE BABA ASKOFU yeye ni Mkubwa kuliko Rais aliyasema maneno haya

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Na he dey do the dirty lies o, Gwajima
Oh I am looking for that pastor called Gwajima
Na he dey spoil your mind like a Lucifer
Eh hey eh Gwajima
Say I am looking for that pastor called Gwajima
Na he dey do the dirty lies o, Gwajima
Oh I am looking for that pastor called Gwajima 🎶🕺🐒
 
As I said ,CCM itaanguka kwA hoja za kuwagombanisha kama kodi kwA wabunge, na vitu kama chanjo, sio kwA vitu vya kuwapatanisha kama Katiba mpya.

"Zidumu fikra za Mwenyekiti"
Kama ilishindwa kuanguka 2015, basi usahau kijana. CCM ni zaidi ya uijuavyo, mwaka 2025 watakuja na mikakati mingine zaidi ya ile ya 2015 ya kumtupia mfupa (fisadi kuu kwa mujibu wa chadema yenyew) Mbowe na genge lake huku wao wakijipanga vizur kufanya yao.
 
Back
Top Bottom