Magufuli, tambua ya kuwa hupambani na Lissu bali unapambana na wakati!

lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,199
2,000
Kuna Msemo unasema Majira hayafwati watu, bali watu hufuata majira!

Wahenga walienda mbali zaidi kwa kusema wakati ukuta, ukipambana nao utaumia.

Kwako rais Magufuli, wapambe wako, wafuasi wako na mawakala wako. Napenda nikupe ujumbe huu wa kihistoria kuwa usije ukadhani unapambana na watu individually! Nop! Unakosea sana ndio maana unaona kwa kadiri unavyokazana kununua au kunyamazisha hawa wanaibuka wale!!

Unaonekana si mwanafunzi kabisa wa historia Leo naomba nikufundishe!!

Dola ya Rumi ilishindana sana na watu ili isianguke lakini wakati haukua upande wake ikaanguka!!

Ukoloni uliua na kutesa wapigania uhuru wengi ukiamini ndio adui waliopambana nao kumbe haikua hivyo ilikua ni wakati na majira ukoloni ukaanguka!!

Ulaya na Marekani uzionazo Leo demokrasia hazikuja tuu kama mwewe!! Watu waliuawa wengine kuteswa hadi kupelekea revolutions mbalimbali huko kwao lkn mwisho wa siku wakati ulishinda!!

Robert Mugabe alinyamazisha sauti zote zilizompinga ikiwemo mpinzani wake Mkuu Shangirai!! Mugabe aliamini kumalizika kwa kansa kwa mpinzani wake ndio angehudumu Milele lakini aliangushwa dakika ambazo hakukua na sauti yoyote ya kumpinga!!

Kulikuwako na madikteta wengi wenye nguvu na ushawishi mkubwa walioua maelfu ya wapinzani na sasa hawako tena na kumbukumbu Lao limesahaulika!!

Jiulize tangu kuanza kwa siasa Za vyama vingi nchini walinzani wangapi wameuawa, kununuliwa ama kunyamazishwa lakini upimzani umekua siku hata siku?

Nakutahadharisha kuwa akinyamaza Lissu wataibuka wengine,

Kaa utambue huu unaopambana nao ni wakati ambao unaruhusu mawazo tofauti, uhuru wa watu na ustawi bora wa fikra katu hutaweza shindana nao!! Haya ni majira ya fikra huru huwezi pambana na majira!!

HAKUNA ALIYEPAMBANA NA WAKATI AKASHINDA!! UNAPOTEZA MUDA NA NGUVU BURE!!
 
lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,199
2,000
Lissu anaropoka tu, arudi hapa ajenge nchi na jimbo lake, anakuwa km kuku anayeacha vifaranga barabarani anaenda kupiga kelele mabandani kwa wenzie, rudi nyumbani umtetee mbowe atoke gerezani tuendeleze mapambano

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi mliopo hamtoshi kujenga nchi? Majimbo mengi ya CCM ni maskini yakutupwa mbona hamjengi?
 
shamimuodd

JF-Expert Member
Jan 28, 2019
526
1,000

Mjulishe na Mh. Lissu kuwa hapambani na Dkt Magufuli anapambana na watanzania na system yake yote mpaka watoto, na hivyo hana pa kuficha uso wake
 
Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
3,305
2,000
inawezekana na lisu nae anapambana na wakati, anadhani bado ni wakati wa jk kumbe huu ni wakati wa magu ataumia sana!
 
Nyangomboli

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
3,201
2,000
Kuna Msemo unasema Majira hayafwati watu, bali watu hufuata majira!

Wahenga walienda mbali zaidi kwa kusema wakati ukuta, ukipambana nao utaumia.

Kwako rais Magufuli, wapambe wako, wafuasi wako na mawakala wako. Napenda nikupe ujumbe huu wa kihistoria kuwa usije ukadhani unapambana na watu individually! Nop! Unakosea sana ndio maana unaona kwa kadiri unavyokazana kununua au kunyamazisha hawa wanaibuka wale!!

Unaonekana si mwanafunzi kabisa wa historia Leo naomba nikufundishe!!

Dola ya Rumi ilishindana sana na watu ili isianguke lakini wakati haukua upande wake ikaanguka!!

Ukoloni uliua na kutesa wapigania uhuru wengi ukiamini ndio adui waliopambana nao kumbe haikua hivyo ilikua ni wakati na majira ukoloni ukaanguka!!

Ulaya na Marekani uzionazo Leo demokrasia hazikuja tuu kama mwewe!! Watu waliuawa wengine kuteswa hadi kupelekea revolutions mbalimbali huko kwao lkn mwisho wa siku wakati ulishinda!!

Robert Mugabe alinyamazisha sauti zote zilizompinga ikiwemo mpinzani wake Mkuu Shangirai!! Mugabe aliamini kumalizika kwa kansa kwa mpinzani wake ndio angehudumu Milele lakini aliangushwa dakika ambazo hakukua na sauti yoyote ya kumpinga!!

Kulikuwako na madikteta wengi wenye nguvu na ushawishi mkubwa walioua maelfu ya wapinzani na sasa hawako tena na kumbukumbu Lao limesahaulika!!

Jiulize tangu kuanza kwa siasa Za vyama vingi nchini walinzani wangapi wameuawa, kununuliwa ama kunyamazishwa lakini upimzani umekua siku hata siku?

Nakutahadharisha kuwa akinyamaza Lissu wataibuka wengine,

Kaa utambue huu unaopambana nao ni wakati ambao unaruhusu mawazo tofauti, uhuru wa watu na ustawi bora wa fikra katu hutaweza shindana nao!! Haya ni majira ya fikra huru huwezi pambana na majira!!

HAKUNA ALIYEPAMBANA NA WAKATI AKASHINDA!! UNAPOTEZA MUDA NA NGUVU BURE!!
Lissu ndiyo atambue ya kwamba anapambana na wakati pia na watanzania wote na aala hapambani na Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
6,353
2,000
Mkuu mbona unaropoka km umekalia dole gumba, usinitolee mimi maumivu yako ya rohoni, kura zenyewe hazipigwi na diaspora wala wazungu bali zinapigwa na mwananchi wa kawaida sanaaa ambaye hata hana muda wa kumfuatilia lissu huko youtube, sasa we kaa jidanganye na wenzio mnaojipa moyo muone anaishia wapi, crybabies never win, only the tough ones prosper,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameenda kuwaambia kuna mtu anaitwa Jecha anafuta matokeo ya uchaguzi...policeCCM wanakimbia na sanduku la kura...wahamiaji haramu wanapewa vitambulisho vya kupigia kura...February alichakata kura halali...in fact CCM ilishapigwa ngwara toka 1995..vyombo vya ulinzi na usalama vinawabeba..mabeberu lazima wajue ...
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
5,055
2,000
Mkuu mbona unaropoka km umekalia dole gumba, usinitolee mimi maumivu yako ya rohoni, kura zenyewe hazipigwi na diaspora wala wazungu bali zinapigwa na mwananchi wa kawaida sanaaa ambaye hata hana muda wa kumfuatilia lissu huko youtube, sasa we kaa jidanganye na wenzio mnaojipa moyo muone anaishia wapi, crybabies never win, only the tough ones prosper,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapiga kura ni wananchi wa vijijini ambao wengi wao hata smart phone hawana.Hawawezi kufuatilia habari kwa mitandao,hawana uwezo.

Wengine siku ya kura kwanza wanauliza wagombeaji wa chama cha Mwl.Nyerere yaani CCM ni akina nani ili waweke alama ya ndio.
Asilimia kubwa ya wanawake wa Tanzania ni watiifu kwa serikali ya CCM regardless of what,wanaipigia CCM.
 
Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,457
1,500
Lissu anaropoka tu, arudi hapa ajenge nchi na jimbo lake, anakuwa km kuku anayeacha vifaranga barabarani anaenda kupiga kelele mabandani kwa wenzie, rudi nyumbani umtetee mbowe atoke gerezani tuendeleze mapambano

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi watu mmezaliwa na binadamu au wanyama??? hivi kwa tatizo alilopata Lissu unaweza kuunga mkono kwa sababu yeyote? hivi mnadini na imani ninyi? hakuna hata mtu mmoja mwenye akili ambaye anaweza kuunga mkono kitu alichotendewa Lissu, sijaona binadamu wa aina hiyo labda paka, hebu muogopeni Mungu. Hivi kama sio Mungu kumtetea Lissu angeishi?? Ogopeni nguvu iliyomuokoa na silaha za kivita? maana kama nguvu hiyo ilimuokoa Lissu unadhani haiwezi kukuthuru wewe ??.
 
Nelson Mwombeki

JF-Expert Member
May 2, 2018
2,941

Sisi hatuungi mkono kumiminiwa risasi, tunasema kuwa jimbo lake linamhitaji aje apige mishe, km hawez basi atulie apone awe mwenye afya tele sio anarandaranda kwa wazungu ambao hawajali lolote analosema maana nao wana matatizo yao kuhusu kujenga ukuta wa mexico, hospital and medical care, housing projects nk, they dont lose sleep over lissu and his cries, come home and stand for your people, weak politician.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,664
2,000
Kuna Msemo unasema Majira hayafwati watu, bali watu hufuata majira!

Wahenga walienda mbali zaidi kwa kusema wakati ukuta, ukipambana nao utaumia.

Kwako rais Magufuli, wapambe wako, wafuasi wako na mawakala wako. Napenda nikupe ujumbe huu wa kihistoria kuwa usije ukadhani unapambana na watu individually! Nop! Unakosea sana ndio maana unaona kwa kadiri unavyokazana kununua au kunyamazisha hawa wanaibuka wale!!

Unaonekana si mwanafunzi kabisa wa historia Leo naomba nikufundishe!!

Dola ya Rumi ilishindana sana na watu ili isianguke lakini wakati haukua upande wake ikaanguka!!

Ukoloni uliua na kutesa wapigania uhuru wengi ukiamini ndio adui waliopambana nao kumbe haikua hivyo ilikua ni wakati na majira ukoloni ukaanguka!!

Ulaya na Marekani uzionazo Leo demokrasia hazikuja tuu kama mwewe!! Watu waliuawa wengine kuteswa hadi kupelekea revolutions mbalimbali huko kwao lkn mwisho wa siku wakati ulishinda!!

Robert Mugabe alinyamazisha sauti zote zilizompinga ikiwemo mpinzani wake Mkuu Shangirai!! Mugabe aliamini kumalizika kwa kansa kwa mpinzani wake ndio angehudumu Milele lakini aliangushwa dakika ambazo hakukua na sauti yoyote ya kumpinga!!

Kulikuwako na madikteta wengi wenye nguvu na ushawishi mkubwa walioua maelfu ya wapinzani na sasa hawako tena na kumbukumbu Lao limesahaulika!!

Jiulize tangu kuanza kwa siasa Za vyama vingi nchini walinzani wangapi wameuawa, kununuliwa ama kunyamazishwa lakini upimzani umekua siku hata siku?

Nakutahadharisha kuwa akinyamaza Lissu wataibuka wengine,

Kaa utambue huu unaopambana nao ni wakati ambao unaruhusu mawazo tofauti, uhuru wa watu na ustawi bora wa fikra katu hutaweza shindana nao!! Haya ni majira ya fikra huru huwezi pambana na majira!!

HAKUNA ALIYEPAMBANA NA WAKATI AKASHINDA!! UNAPOTEZA MUDA NA NGUVU BURE!!
hatofautiani na Jose Mourinho ambaye football tayari imemu-overtake siku nyingi.

huyu wa kwetu amekuwa overtaken na mifumo ya kisasa ya kiuongozi.... amekaa ki agriculture agriculture hivi!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom