Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni maneno makali sana lakini hayana tafsiri ya kufariji mtu kwa kumwambia kwa lugha ya Kiingereza au Kiswahili Mazuzu ni watu ambao hawawezi kusimamia misimamo yao binafsi, Mazuzu mara nyingi ni...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
CHADEMA MPYA YA MWENYEKITI HALIMA MDEE KUZALIWA MIEZI MITATU IJAYO NDANI YA CHADEMA YA SASA. Leo 22:20hrs 28/11/2020 Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakati Tundu Lissu kapigwa risasi ukashiriki kumnyima Pesa za matibabu,ukidai hujui alipo, ukashiriki kumfutia ubunge na kuitisha Uchaguzi kwenye Jimbo lake,ulidhani unamfurahisha Mungu au...
19 Reactions
21 Replies
2K Views
Watu wengi, especially wafuasi wa CHADEMA, wameonesha kupofushwa na chuki zao dhidi ya viongozi fulani kiasi cha kupoteza objectivity katika kupima nguvu ya hoja zinazotolewa na hao viongozi...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm. Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Tukubali kwamba wapo watu katika Hali yakibinadamu wamedhalilika kutokana na namna walivyohudumu awamu ya tano na wanavyopaswa kuhudumu awamu ya sita. Watu hawa walijitwalia utukufu na heshima...
45 Reactions
101 Replies
8K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!. Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na...
24 Reactions
371 Replies
68K Views
Katika hotuba ya jana Rais amewatuhumu viongozi hao wakubwa katika serikalini Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa na Spika Job Ndugai kumhujumu kwaajili ya uchaguzi wa 2025 ambapo wanaonekana kuunda kundi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama utanisikia mheshimiwa Rais, hakikisha unateua mtu ambaye si daktari kwenye nafasi ya uwaziri wa Afya sababu ni kwamba, hawa madaktari wana tabia ya kubebana kwa kufunika madhaifu yao makubwa...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Ameitisha mkutano na wanahabari muda huo
9 Reactions
109 Replies
9K Views
Huyo Speaker Ndugai ni shida sana kwenye hiki chama, hafai na hana quality ya kuwa mbunge licha ya kuwa speaker. Hivi anavyosema tusikope, anaelewa anachofanya? U.S, UK na nchi zingine zinakopa...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu, Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, speaker wa bunge la muungano anaweza kukoma kuwa speaker ikiwa kama alichaguliwa kuwa spika kutoka miongoni mwa wabunge wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
WAZIRI DK DOROTHY GWAJIMA AZINDUA MPANGO WA JAMII HARAKISHI NA SHIRIKISHI WA CHANJO YA COVID -19 AWAMU YA PILI === Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy...
6 Reactions
60 Replies
5K Views
Kwa mara ya kwanza kauli ya kiongozi mkuu wa Serikali kukili nguvu ya mitandao ya kijamii imetolewa na Spika Ndugai ambaye ni mkuu wa Mhimili wa Bunge Tanzania. Mitandao siku hizi ina nguvu...
14 Reactions
41 Replies
5K Views
Kusema ukweli, japo mwendazake alijitapa sana, ila matendo yake yaligharimu nchi dearly! Hii mikopo ya waziri wa fedha kumpigia simu rais usiku kwaajili ya marejesho ni testimony. Sidhani kama...
0 Reactions
4 Replies
547 Views
Mchapa kazi, ana ushawishi mkubwa ndani ya CCM na nje ya CCM, amekuwa akifanyia kazi kwa haraka na ufanisi mkubwa pale malalamiko yanapotokea kwenye wizara anazozisimamia, mtu wa kujituma nani...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Wanasalimu kwa Jina la JMT, Siku njema huonekana asubuhi, Hatimaye Rais Samia Suluhu Hasaan ameiingiza nchi yetu kwenye nchi Tano zenye mazingira mazuri ya Uwekezaji barani Africa. Sasa...
14 Reactions
151 Replies
10K Views
Unakopa kopa tu, tozo umeongeza ,Bei ya kuvuta umeme wa TANESCO umeongeza halafu wanajiuzulu wanaosema ukweli. CCM Chama cha ajabu sana Mwenyekiti atakachofanya wanafki lazima watie maneno...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakubwa shikamoni ,wadogo zangu hamjambo? Husika na kichwa hapo juu kinajieleza wazi kabisa, kwanza kabla ya yote nadikree interest Mimi Sina chama chochote ni raia huru maana sipendi siasa kiivo...
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Salaam Wakuu, Hivi Karibuni rais Samia alitega kitendawili na akawataka Watanzania Wategue. Kama wewe ni mtu wa kusoma na kufuatilia Siasa za Nchi ya Tanzania na bado huwezi tegua hiki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom