"Nami sasa naungana na wale Wanaodai Katiba Mpya na hasa hasa nitaomba Kipengele cha Makamu wa Rais kuja Kunrithi Rais aliyefariki kiangaliwe upya kwani kuna uwezekano huko mbeleni tukapata Makamu...
MAMA TUVUSHE, TUKUVUSHE
Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge. Bila ushabiki wala uzembe, tuangalie yafuatayo kwa makini:
1. Ukubwa wa CCM si...
Akiongea na vijana wa UVCCM Pemba leo mama amewatahadharisha vijana kukataa kutumika na watu wenye nia ovu ndani ya chama wanaotaka kukipasua chama vipande vipande.
Vijana hao ambao wamekunywa na...
Wajuzi habari za mchana wa leo.
Juzi nimemsikia Raisi wa Zanzibar akiagana na mabalozi wanaokwenda kuwakilisha ktk nchi mbalimbali.
Ila sikujua kama ni hawahawa wa Tz alikuwa akiagana nao au...
Kwa mara nyingine tena tukubali kwamba Tanzania hatujaweza kuwa na mchujo wa kupata viongozi wenye busara. Busara hutokana na kuiga pamoja na uzoefu. Kwa mtu aliyeweza kuwa kiongozi wa nchi...
Mu hali gani!
Mama is so smart sisi wataalamu wa movies za kungu fu tunamwita master.
Alipoingia wengi ,hasa mm tulimdharau kuwa yuko soft anadhani uraisi ni kikoba.
Muda ukaenda akachagua mbwa...
Nimemsikiliza Lema na wana Ufipa wengine bado naona Chadema hakijifunzi kwani ni wepesi sana kuhamishwa, hakina senta of interigensi, usemaji, mipango, mbinu, inafikia hatua wanasahau kama...
"Ni wakati kama nchi kujiuliza ni kitu gani kilipelekea Ndugai ajiweke katika viongozi wasioshtakiwa kwa lolote atakalofanya.
Spika amejiweka sawa na Rais eti hashtakiwi, sheria kama hii ndio...
Sio kweli kwamba spika aliropoka kwa namna ile , mtu kama spika , anaecheza na sheria siku zote, anaecheza na hoja siku zote, sio mtu wa kumdhania kuongea hovyo bila kujua anafanya nn na madhara...
Kama CCM ingekuwa na Mwenyekiti wa Taifa tofauti na Rais wa nchi hali isingekuwa kama ilivyo sasa ya msuguano ndani ya chama. Ndugai kama Mkuu wa muhimili wa Bunge angekuwa na uhuru wa kumkosoa...
CCM kama chama kikongwe na kilichodumu kwa mda wa miaka, ni chama kinachoaminika kuwa na uongozi imara na makini.
Binafsi nimeshangaa kuona namna gani umeshindwa kushugulikia swala la Spika na...
Kwa kipindi cha miaka zaidi ya mitano , kile kilichoitwa kipindi cha awamu ya 5, Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai aliuwa kinyama Mhimili wa Bunge na kuufanya sehemu ya Serikali ile, Ndugai...
Rais Samia amewataka UVCCM kuachana na tabia ya kukubali kutumika kama ngazi ya kuwapandisha wanasiasa wazoefu kupata vyeo.
Pili, Rais Samia amewataka UVCCM kutotumika kukipasua chama bali...
Mara ya mwisho Tanzania kuona kiongozi aliyeshukiwa kufanya makosa akambiwa ajiuzulu na akatekeleza, ilikuwa ni mwaka 2008 ambapo Lowassa alijiuzulu kutoka kiti cha uwaziri mkuu. Hivi majuzi kuna...
Wana JF nimejaribu kuwaza hivi kwanini nchi yetu haitumii sana njia ya PPP- Public Private Partnership katika kuanzisha miradi ya maendeleo nchini?
Njia hii naona inakuwa na unafuu sana maana sio...
Na. M. M. Mwanakijiji
Wapo baadhi ya watu ambao wanaona kana kwamba Spika Job Ndugai ameanza leo kutumia madaraka yake vibaya na wakati mwingine vibaya zaidi kila akikalia kiti cha Spika. Wengi...
Jana nilisambaa video ikimuonesha Spika Job Ndugai akitoa kauli zilizofanya watu wahoji nia yake dhidi ya Serikali iliyopo madarakani.
Katijka hali ya kushangaza, Spika Ndugai ambaye alikuwa...
Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea
Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.