Ndugu zangu;
Kila nchi inakopa,na kila mkopo lazima utumike kikamilifu.Hata hivyo hii mikopo ambayo tunaaminishwa kwamba imetumika vizuri ni changa la macho.
IKO hivi.Idadi ya watu Tanzania ni...
Nakumbuka mwenyekiti wa CUF aliwahi kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti kisha akarejea kwa kasi ya mwanga kwa madai kwamba taratibu za kikatiba hazikutimilizwa ipasavyo.
Na hadi leo Prof Lipumba...
Tarehe kama ya leo 7 Januari,2019 aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai alimtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge...
Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kuanzisha utaratibu utakaosaidia katika uwajibikaji na uwazi wa fedha za umma. Uwazi wa matumizi ya Fedha unaondoa mianya ya rushwa na ubadhilifu...
Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na...
Katika hili sakata la serikali kumfukuza kazi mheshimiwa spika,
Kuna watu wanasema, ni ubovu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Na kwamba wanataka katiba mpya kama njia ya kuzuia...
Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa.
Mama hatoweza kuihimili na hata dola...
Siwezi kufurahia anguko la huyu Mzee lakini nafurahia ni haki inafanyika na ubaya urudi ubayani.
Ni Spika ambaye hakuheshimu katiba hata kidogo, alijifanya yeye ndio katiba.
Halafu mwishoni...
VITA HAVIJARIBIWI, SILAHA NDIZO ZINAJARIBIWA.
Anaandika, Robert Heriel.
Vita ni sumu. Sumu haionjwi.
Vita ni mkondo wa MTO wenye maji, kamwe usitie miguu kupima kina cha maji.
Vita...
Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDASA) imesikitishwa sana na tabia za baadhi ya Watumishi wa Serikali wanaochelewesha kwa visingizio visivyoeleweka malipo kuhusu stahiki...
Tanzania tuna utamaduni wa kuwatunza viongozi wetu wanaostaafu au kumaliza muda wao wa uongozi. Tunafanya hivyo kwa kuwajengea nyumba za kifahari na kuwapa mishahara za posho kadhaa wa kadhaa...
Tulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la...
BARUA YA WAZI KWA MHE SPIKA NDUGAI.
Na Elius Ndabila
0768239284
Mhe Spika Ndugai Shikamoo! Ni matumaini yangu Mungu anaendelea kukupigania katika hali yako kiafya. Jana wakati unazungumza na...
Imefahamika kwamba kesi tano zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zimefutwa tangu Rais Samia aingie madarakani.
Gazeti la Mwananchi, limezungumza na Tundu Lissu...
MAMA TUVUSHE, TUKUVUSHE
Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge. Bila ushabiki wala uzembe, tuangalie yafuatayo kwa makini:
1. Ukubwa wa CCM si...
Mh Spika Ndugai ameonekana kuwa na kauli ambazo kimsingi zina kinzana na serikali amabyo yeye ni mmoja wa hiyo serikali.
Labda nimkumbushe kuwa yeye ni mwana chama wa CCM na ni serikali hiyo hiyo...
UVCCM: Alipo Mama na Sisi Tupo
Rais Samia: Ilipo UVCCM nami nipo.
Rais Samia amesema Ukombozi wa taifa letu ulishaletwa na waxee wetu kupitia Tanu na Asp na kilichobakia ni sisi kujiletea...
"Nami sasa naungana na wale Wanaodai Katiba Mpya na hasa hasa nitaomba Kipengele cha Makamu wa Rais kuja Kunrithi Rais aliyefariki kiangaliwe upya kwani kuna uwezekano huko mbeleni tukapata Makamu...
MAMA TUVUSHE, TUKUVUSHE
Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge. Bila ushabiki wala uzembe, tuangalie yafuatayo kwa makini:
1. Ukubwa wa CCM si...
Akiongea na vijana wa UVCCM Pemba leo mama amewatahadharisha vijana kukataa kutumika na watu wenye nia ovu ndani ya chama wanaotaka kukipasua chama vipande vipande.
Vijana hao ambao wamekunywa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.