Tanzania inaweza kuwa na mabalozi wawili katika nchi moja?

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
17,660
13,719
Wajuzi habari za mchana wa leo.
Juzi nimemsikia Raisi wa Zanzibar akiagana na mabalozi wanaokwenda kuwakilisha ktk nchi mbalimbali.
Ila sikujua kama ni hawahawa wa Tz alikuwa akiagana nao au amefanya uteuzi wa mabalozi kutoka ZNZ.
Nilishangaa zaidi baada ya kuona kuna balozi anakwenda Brazil wakati mie najua huko kuna Balozi Emanuel Nchimbi.

Naombeni ufafanuzi wajuzi wa mambo,
 
Back
Top Bottom