Rais Samia: UVCCM msikubali kutumiwa kama ngazi ya kuwavusha Wanasiasa wazoefu kisha mnatelekezwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Rais Samia amewataka UVCCM kuachana na tabia ya kukubali kutumika kama ngazi ya kuwapandisha wanasiasa wazoefu kupata vyeo.

Pili, Rais Samia amewataka UVCCM kutotumika kukipasua chama bali wakiimarishe.

Source: ITV
 
Back
Top Bottom