Mpk sasa za chinichini Ndugai hajiuzuru kwa sababu ya backup kubwa aliyonayo ya Team Magu wakiongozwa na Kassim Majaliwa
Za ndani kabisa zinasema wamemwambia agome kujiuzuru ili wanaopeleka...
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa...
Tangu mama kuingia madarakani kwa bahati mbaya ya kufa kiongozi mpendwa Tanzania magufuli amekuwa hana political base kwa hivyo amejibainisha kama mtetezi wa kupata madaraka wanawake.
Tunaweza...
Ninaamin na wengi wanaelewa kwa katiba hii ya 1977,tuna mhimili mmoja tu hapa Tanzania,hii mingine ya mhimili wa mahakama na mhimili wa Bunge ni formalities tu,ipo lakini haifanyi kazi...
Ni maneno ya Bibi mmoja kwenye daladala~ alikuwa muuza mboga kwasasa ameacha. Wakati baba yupo inamaana mama alikuwa anaishi kwa kuigiza au mama alikuwa anaskilizia. Baba mama anageuka, amini siku...
Huo ni "UONGO" wa wazi...
Jenerali Ulimwengu ameshanunuliwa na Mafisadi ili wapate sababu za kuuza umeme wa IPTL na Symbion huku wakihujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!! Sote tunafahamu jinsi...
Kwanza nimpe pole Speaker mstaafu kwa yaliyompata. Na hili liwe funzo kwetu kuwa unapokuwa na madaraka usiumize upande mmoja huwezi kujua kesho itakuwaje. Kuna observation nimeipata kutokana na...
Mwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee...
Mapokezi ni babkubwa Mama yetu Mkuu wa Nchi na Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania nzima Mama Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Rasmi atatua Visiwa vya Karafuu kule Pemba kwa ajili kilele...
Yaani watu tunashangilia kujiuzuru kwa ndugai kisa kahoji mikopo Dah hiyi nchi ngumu sana
Kabisa serious tunafurahia na tulipiga
Na makelele ajiuzuru ajiuzuru kisa tu kwa kuwa historia Yake ya...
Nchi yetu hii ilifikia hatua nzuri sana ya watu kuwa huru kutoa mawazo yao,bahati mbaya baada ya Jakaya Kikwete kutoka madarakani tulianza kutunga sheria kali dhidi ya wenye mawazo kinzani.
Wenye...
Ndani ya CCM ulizaliwa mfumo wa wabunge kupita kwa hisani ya Mwenyekiti, mfumo huu unakenda kuzima mabishano ya hoja.
In long-run hakutakua na kiongozi nchini atakayetoboa bila kumnyenyekea...
Kwanza nieleze kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi kuna mihimili 3 katika nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama, ambayo inatakiwa kufanya shughuli zake bila kuingiliana, katika kile...
Makamu wa Rais Dr Mpango ameitaka idara ya uhamiaji kutowasumbua wananchi wanaoishi mipakani kwa madai ya kutokuwa raia bali wafanye kazi kwa weledi na haki
Dr Mpango ametoa agizo hilo mkoani...
Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za...
Wana JF.
Giza Nene lenye bundi limemfunika bwana Jobo, kakutana na mabundi wasiokuwa na huruma. Haya yote ni matokeo ya kulazimisha kila kitu kiende kigizagiza kwa kukanyaga katiba. Mabundi...
Wanabodi, Spika ndugai anachanganya sana mambo, Hawezi akajilinganisha na MJ Assad kabisa
Chuo kikuu cha Dar es Salaam tangu kianzishwe hao maprofessa wa accounting wazawa hawajawi kuwepo...
Wanabodi, Mada hii ni kutokana na kongamano la kujadili siku Mia moja za Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Wasimamizi wa taasisi zote kwa kuzitaja TRA, Bandari, TCRA na Uhamiaji wamejitokeza kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.