Job Ndugai alimuwashia moto Prof. Assad tarehe kama ya leo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,777
102,139
Tarehe kama ya leo 7 Januari,2019 aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai alimtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge siku ya Januari 21, 2019 kwa hiari kwa ajili ya kuhojiwa, vinginevyo angepelekwa kwa pingu.
Spika Ndugai alitoa kauli hiyo mchana wa Januari 7, 2019 alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake akisema Profesa Assad alilidhalilisha Bunge.

Ndugai alisema CAG akiwa nje ya Tanzania wakati anahojiwa na Idhaa ya Kiswahili alisema Bunge la Tanzania kuwa ni dhaifu.

My Take
Karma is a bit$$ch
 
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili

Bunge dhaifu limepigwa. Huenda ikawa ni mwanzo wa kuwa na bunge imara.

Sio afya hata kidogo kushangilia anguko la mwenzako, hata kama ni adui yako.
 
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili
kungekuwa na bunge la maana lisingetikiswa na hoja nyepesi kama hiyo
 
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili
... Ndugai anahukumiwa na historia yake mbovu ambayo inazidi hoja yake iliyomwondoa madarakani. Hoja yake itajadiliwa kwenye platforms nyingine kadhaa ila, kwa matendo na kauli zake, ashukuru kwa hilo lililomkuta; ana Mungu.
 
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili
Wewe ndio mjinga WA Kwanza usieelewa Spika Dhaifu ali zaa Bunge dhaifu kilichompata alikistahiki kwani alishindwa kusimamia Sheria akajipandisha mabega yamemkuta Kwa NN tusijfariji??
 
Sabufa amesababisha Bunge kudharaulika sana na kukosa eligibility kwa kupitisha hoja za kijinga na kuruhusu mambo ya hovyo kama kuwaapisha kihuni wale Covid 19.

Karma is what you get in return for the miserable acts you did at unknown time.
 
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili
Ni ujinga wa hali ya juu sana kusema limepigwa bunge,aliyepigwa ni ndugai,kama samia asingepitisha nkopo huu bungeni,ambapo bunge liliuidhinisha rasmi,ndugai akalalamija na rais akamfokea hapo ndipo mngesema limepigwa bunge,lakini samia kafata process zote na mkopo ukaudhinishwa na bunge,ndugai aje kulala eti mseme limepigwa bunge?,huo ni uzuzu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili
Na wapige tu, kwani hawana msaada wowote. Wazee wa legacy mtapata kipigo mpaka msande
 
Ni ujinga wa hali ya juu sana kusema limepigwa bunge,aliyepigwa ni ndugai,kama samia asingepitisha nkopo huu bungeni,ambapo bunge liliuidhinisha rasmi,ndugai akalalamija na rais akamfokea hapo ndipo mngesema limepigwa bunge,lakini samia kafata process zote na mkopo ukaudhinishwa na bunge,ndugai aje kulala eti mseme limepigwa bunge?,huo ni uzuzu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
uwage na akili kidogo basi.
Hata kama hayo uliyosema yangekuwa kweli(kwa sababu sio kweli),
wakati Samia anatangaza tozo aliinanga mikopo na kusema ina masharti magum.
Na sababu ya kupitisha tozo ni kujenga vyumba vya madarasa na vituo vya avya
unaendaje kukuopa kwa kitu kile kile ulichowekea tozo?
Pamoja na hayo Ndugai hawajibiki kukubaliana na raisi kwa kila jambo
Ndugai ni mhimili mwingine kabisa..
Kitendo cha raisi kumtoa Ndugai sio peronal ni kitu cha utendaji ndani ya mhimili
Spika awe anafuata matakwa ya raisi wake.
 
Naona asiye na akili anamfundisha mwenye akili, hii ndio Tanzania ya Ndugai mgalilaya.

Ndugai analalamika mkopo ambao ameupitisha bungeni we unakuja na habari ya tozo ambazo nazo zimepita bungeni na Zina matumizi yake tofauti.

Rais amesema wazi kabisa, Kuna miradi ya kimkakati ambayo inahitaji pesa nyingi na hatutaweza kuikamilisha kwa kutumia pesa ya tozo na Kodi pekee.

Pia unaweza kuona Kuna zaidi ya bilioni 65.2 wamepewa TAMISEMI pesa inayotokana na tozo na tayari imeelekezwa kujenga zahanati, miundombinu ya maji pamoja na scanner za hospital zote za mikoa.

Bado elimu ni bure na wanaajiri watumishi wapya toka ameingia madarakani maana ajira mpya hazijatoka nadhani since 2007, unaweza kuona pesa ya tozo na Kodi inakoenda.

Wizara imenunua magari mapya kwa watumishi wa elimu, maafisa tarafa nk ili kurahisisha utendaji wao wa kazi since most of them wanafanya kazi remote areas.

Tozo iliyokuwa tulipe Rais aliamua ipunguzwe akijua kabisa iatalazimika kujazia hilo Gap kwa kukopa fedha kuepusha mzigo kwa wananchi Ila leo tunamtukana na kumbeza. Sasa je arudishe tozo kama alivyopendekeza Mwigulu??? Je mpo tayari kulipa hizo tozo au akirudisha mtalalamika tena???

Watanzania hatuna shukrani kama midhuti, mdhuti hata uuoshe vipi, ukitoka bafuni unanuka tu.
 
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili
Wewe ni mjinga ndio maana utasikitika kwani tuna bunge sie au kijiwe cha ndugai
 
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili
Acha kupotosha kwa kauli hii, jiulize kwani kabla ya kujiuzulu bunge lilikuwa salama.

Ndugai huyuhuyu ndiye mwasisi wa kulipiga bunge na kuwa kama Baraza la ccm.
 
1641556820800.png
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom