Tujikumbushe jinsi Prof Lipumba alivyojiuzulu Uenyekiti wa CUF kisha akarejea kwa madai Katiba ilikiukwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,929
141,894
Nakumbuka mwenyekiti wa CUF aliwahi kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti kisha akarejea kwa kasi ya mwanga kwa madai kwamba taratibu za kikatiba hazikutimilizwa ipasavyo.

Na hadi leo Prof Lipumba ndiye mwenyekiti wa CUF.

Nawaza tu kuhusu Spika aliyejiuzulu Job Ndugai.
 
Alitoa kauli hadharani,
Km aliomba msamaha hadharani,
Kwanini kujiudhuru kuwe kwa barua tu na sio place? Maana niuamuzi mgumi kuliko wote katika maisha yake!
 
Hoja ubayotaka kuijenga haina mashiko kwa ndugai. Lipumba alitumika na ccm kama mpango wa kuipunguza mali cuf. Jobo ameshindwa kunata na beat za mhimili mkuu wenye mizizi mirefu
 
Katiba Ibara ya 149-(1) (c)
IMG_20220107_152730_462.jpg
 
Back
Top Bottom