Hii ni dhahiri kuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA hawana busara, huwezi kumuombea kifo mwenzako

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Screenshot_20220107-193347.png
 
Lema ni Mchaga mwenzangu ila kuna mambo huwa simkubali huyu mtu..

Mambo ya kumtabiria mwenzako kifo sijapenda.

Ila na wewe mtoa mada, jifunze kutofautisha msimamo wa Lema na msimamo wa chama chake. Hapo na wewe umekosea.. usiipake Chadema matope kwa maneno ya mtu mmoja.
 
Hivi unadhani John Mnyika alipewa na nani habari kisha akaanza kudai taifa lipewe taarifa. Wapo!
 
Kwani unafikiri kalopoka tu? We ukumbuki alimuambia Magu? Hukumbuki badala ya ule Moshi kule Ruangwa wakina Zitto wakainuka post zao twiter kumtakia Mama kila Rakheri kwenye uongozi wake wakipambana kuwa sasa ni zamu yako?

Badae akaja kuomba msamaha na Mzee Magu akatoka na nyimbo ya Goodluck ya "Hauwezi kushindana"? Basi ujue hivo vitu vilishapangwa kwa kwenye vikao vyao wanajadili pamoja.
 
Hayo sio maombi,Huo ni unabii,Ni jambo ambalo lipo mbele yake,lazima litokee na kama hatamtafuta Lema kujua Mungu ana ujumbe gani basi ajiandae

Hata Sabaya aliambiwa akadhani utani ,Mwendazake ndio aliambiwa mapema zaidi akashupaza shingo na kuamuru afungwe,yakamkuta yakumkuta
 
Kumbe Mashekhe, wachungaji na mapadre wanapokuwa wanatuhimiza kutengeneza mambo yetu na Mungu (kutubu na kaucha dhambi), huwa wanatuombea kifo?

Isa 38:1

Siku hizo Hezekia aliugua, akawa katika hatari ya kufa; na Isaya nabii, mwana wa Amozi, akaenda kwa mfalme, akamwambia, BWANA asema hivi, Tengeneza mambo ya nyumba yako; maana utakufa, wala hutapona.
 
Back
Top Bottom