Jeshi la Polisi wavamia ofisi za chadema na kumkamata Mwenyekiti wa mkoa

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Jeshi la Polisi limevamia ofisi za CHADEMA kanda ya Kaskazini na kuzuia maandalizi ya Kongamano la Tume huru ya uchaguzi lililopangwa kufanyika leo Jan 8 mwaka 2022

Kongamano hili ambalo mgeni rasmi ni Mh Sharifa Suleiman lilipangwa kuanza saa sita kamili leo.Kongamano hili ni kumbukizi ya miaka kumi na moja ya mauaji yaliyofanyika Jan 5 mwaka 2011
Polisi walifika mapema asubuhi wakiongozwa na OC CID Gwakisa na kumkamata Mh Mungure ambaye ni Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha.Pamoja na wanachama wengine kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la polisi

Polisi wamefika wakiwa na magari kadhaa miongoni mwao ni gari gari lenye aina ya Landrover T166 DQZ,T 233 CXX

Hadi muda huu polisi wamezingira ofisi na kuzuia kila anayeingia/anayefika ofisini
 
Kwahiyo sisi tufanyeje 😂😂😂😂😂😂
 
Huyo mwenyekiti asipewe hata dhamana

USSR
 
Back
Top Bottom