CCM ni chama cha kisulutani, 2025 watanzania tujiongeze. Wanarithishana utawala na kupiga madili tu.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,125
4,168
Hili lipo wazi kabisa uongozi wa taifa hili chini ya CcM ni kurithishana na kupeana mapande ya kupiga madili.

Mwaka 2025 ndio wakati muafaka wa kuwaadhibu.

Maana wanarithishana upigaji madili na uongozi kama taifa la kisulutani
 
Back
Top Bottom