#COVID19 Rais Samia: Kwenye hili janga la Corona dunia imekubaliana na philosophy ya Magufuli

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha mabalozi Ikulu Dares Salaam amesema kwenye hili janga la corona dunia nzima imekubaliana na philosophy ya hayati Magufuli kuwa ugonjwa wa Corona ni janga ambalo binadamu watalazimika kujifunza jinsi ya kuishi nao kwani haijulikani lini utaondoka.

Rais Samia amesema hata nchi walizokuwa wamefunga viwanda na kuweka lockdown wameamua sasa kwamba kazi iendelee na wamefungua viwanda vyote na kuanza uzalishaji tena kama zamani.

My take
Corona ilipoingia hapa Tanzania wabunge wa chadema wakiongozwa na Mbowe walikimbia bunge na kwenda kujifungia ndani na kuwaacha wenzao wakiendelea kuchapa kazi chini ya spika shupavu Ndugai.
 
Unafiki ni mbaya sana, sukuma gangs hapa wanakenua meno yote mbele, mumbe mwenzenu anawagiribu tu
 
Basi MATAGA hapo yanajisikia faraja kweli kweli wakati hata mtoto wa Darasa la IV anafahamu dunia, including SSH hawapo sawa na JPM kwenye corona!!

Kama issue ni kutoweka lockdown, kuna nchi kama Sweden wala hawakuweka lockdown!!

Sasa dunia inamfuata Magu aliyesema tujifunze kuishi na corona huku akipuuza suala la chanjo, au inaifuata Sweden ambayo tangia hapo wamekuwa wakiishi na corona lakini bila kupuuzia masuala ay chanjo?

Iliyojifunza falsafa ya Magu ni Burundi, na sio dunia...
 
..Magufuli alikuwa anapinga chanjo. Pia alikuwa akipiga vita uvaaji wa barakoa, yeye akiziita "mabarakoa."

..Na alizua kwamba kuna Watz wamekwenda nje ya nchi kuchanja wamerudi nchini na kuanza kutuambukiza.

..Sasa dunia inaweza vipi kukubaliana na kiongozi mwenye mitizamo ya ajabu-ajabu kama Magufuli?
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha mabalozi Ikulu Dares salaam amesema kwenye hili janga la corona dunia nzima imekubaliana na philosophy ya hayati Magufuli kuwa ugonjwa wa Corona ni janga ambalo binadamu watalazimika kujifunza jinsi ya kuishi nao kwani haijulikani lini utaondoka.
Rais Samia amesema hata nchi walizokuwa wamefunga viwanda na kuweka lockdown wameamua sasa kwamba kazi iendelee na wamefungua viwanda vyote na kuanza uzalishaji tena kama zamani.

My take.
Corona ilipoingia hapa Tanzania wabunge wa chadema wakiongozwa na Mbowe walikimbia bunge na kwenda kujifungia ndani na kuwaacha wenzao wakiendelea kuchapa kazi chini ya spika shupavu Ndugai.
Tumetoka kuzi mfanyakazi mwenzetu juzi. Wa kwanza kaenda mwaka huu mwanzoni. Nyie endeleeni na siasa zenu kwenye maisha ya watu.
 
..sidhani kama wanaweza kumsafisha Magufuli kwa misimamo, upotoshaji, na mizaha yake, kuhusu ugonjwa wa korona.
JPM kama viongozi wengine wote walioacha aakama ana mazuri na mabaya yake. Kul;iko hizi porojo tunazopiga bila kuchoka, tulimuhitaji JPM. Ila kuna mambo mengine kama vile hakujua nayo yapo. Ndio ubinadamu wetu
RIP JPM.
 
Magufuli atabaki kuwa kiongozi ambae mtu mwenye akili atamuheshimu sana lakini walevi ,wafoji vyeti na wezi na madalali hawatokuja kumuelewa hata kidogo

Nchi sasa imekuwa ya walevi,madalali na wanaobet ndo wanatamba sasa
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha mabalozi Ikulu Dares salaam amesema kwenye hili janga la corona dunia nzima imekubaliana na philosophy ya hayati Magufuli kuwa ugonjwa wa Corona ni janga ambalo binadamu watalazimika kujifunza jinsi ya kuishi nao kwani haijulikani lini utaondoka.
Rais Samia amesema hata nchi walizokuwa wamefunga viwanda na kuweka lockdown wameamua sasa kwamba kazi iendelee na wamefungua viwanda vyote na kuanza uzalishaji tena kama zamani.

My take.
Corona ilipoingia hapa Tanzania wabunge wa chadema wakiongozwa na Mbowe walikimbia bunge na kwenda kujifungia ndani na kuwaacha wenzao wakiendelea kuchapa kazi chini ya spika shupavu Ndugai.
Vipi ID yako ya kijuu umeipumzisha tena?
 
JPM kama viongozi wengine wote walioacha aakama ana mazuri na mabaya yake. Kul;iko hizi porojo tunazopiga bila kuchoka, tulimuhitaji JPM. Ila kuna mambo mengine kama vile hakujua nayo yapo. Ndio ubinadamu wetu
RIP JPM.

..sidhani kama Watz tulihitaji kiongozi dhalimu asiyekuwa na utu.

..hivi miundombinu haiwezi kujengwa nchi hii bila kudhalilishwa, kutukanwa, kutekwa, na kuuwawa?

..hili janga la UPOTOSHAJI kuhusu ugonjwa wa corona madhara yake tuko tayari kuyakabili?
 
Back
Top Bottom