Hivi huyu Bibi kweli anaitakia Mema Tanzania? Ile ni meli ya kuzinduliwa na Rais? 🤣🤣🤣
Yaani Tanzania ndo tujivunie ile Meli? Hii awamu inatia aibu hadi wamekosa vya kuzindua
White Elephant...
Sikilizenikwenu-
Ningekuwa na akili timamu, ningewahurumia.
Lakini bahati nzuri nimetoka nje ya mduara wa akili zenu ndogo, sasa naona kile ambacho mlikipuuza kwa miaka 60 mkisema “Amani! Utulivu...
Wanabodi
Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo miongoni mwetu sisi wana JF, pale inapotokea serikali yetu imeshindwa jambo fulani, kwa wale wenzetu wenye uwezo, jee tuwajibike kuisaidia serikali...
Wanabodi,
Kuna hatari kubwa kwa Bunge Maalum La Katiba, kupelekewa "The Act of Union" na kudanganywa eti hizo ndizo "The Articles of Union!", wakati kiuhalisia, hivyo ni vitu viwili tofauti...
Bahati mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha.
Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20...
Ameandika Ansbert Ngurumo kwenye Mtandao wa X
Mwandishi wa habari ALOYCE NYANDA anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Bugarama (Kata ya Bugarama kijijini Ilogi) Geita. Walimkata jana huko Kakola...
Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na waandishi wa habari Aprili 23, 2026 baada ya Tume ya Kuchunguza Matukio yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi...
Wanabodi,
Hiki ni kisa cha kufikirika tuu lakini ni kisa cha kweli na ni cha ajabu kweli, ila ndio ukweli wenyewe kwa kitakachotokea kwenye ndoa ya wawili hawa!.
Kwa hapa Tanzania, kwa kawaida...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi,TAAMULI HURU: 4R zitumike kuponya makovu ya Mapinduzi ya Zanzibar
Jumapili ya Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Mapinduzi...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye Nipashe ya Jumaoili ya Leo。
Leo Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Januari 12, 1964, ilikuwa ni siku ya Jumapili. Leo Tanzania inaadhimisha miaka 61...
Wanabodi,
Kwanza nijiunge na Watanzania wenzangu, kumpongeza Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar, Dr, Husein Mwinyi, kwa Zanzibar kutimiza miaka 60 ya Mapinduzi ya...
Serikali 3 ni bora sana kwa sababu zifuatazo:
(i) Ni muarobaini wa malalamiko ya kuonewa au kumezwa;
(ii) Ni balance nzuri ya uwiano serikalini - 50 kwa 50 katika uwakilishi na gharama;
(iii)...
(A)NOVEMBA 5 Wazanzibari wataadhimisha kutimu miaka miwili tangu iundwe Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Kabla ya hapo Wazanzibari walikuwa wamegawanyika vibaya sana.
(1) Kwa hakika, mzozano huo...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Leo niko Mbeya, hiki kibaridi cha Mbeya, kwa sisi tulio zoea mablangeti yale, hata ujifunike vipi, na...
Wapendwa JF, mtandao uletao mabadiliko nchini,
Kwa miaka mingi watanzania tumekuwa tukijadili mengi juu lakini hatukupata fursa pana ya kujadili Mkataba wa Muungano yaani Articles of Union...
SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI
· Mchakato wa katiba umetawaliwa na uvunjaji wa sheria na kanuni, udanganyifu, uchakachuaji, vitisho na mabavu.
· Katiba inayopendekezwa imepuuza...
Mwanaharakati na Mwanasiasa Cyprian Majura Musiba, ametangaza rasmi kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia Januari Mosi, 2026, akisema amefanya uamuzi huo kwa hiari yake bila...
My Take:
Madai ya muda mrefu kuwa muungano haukuridhiwa na Wazanzibari hayana msingi. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni halali kwani vyombo halali viliridhia pande zote za Muungano.
Uhalali...
Leo ni maadhimisho ya miaka 51 toka zanzibar na tanganyika waungane Tv nyingi zipo live tufuatilie na tuweke updates zote hapa
=============
Leo tarehe 26 Aprili 2015 ni miaka 51 tangu mataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.