Ikiwa Maseneta wa Marekani watakaowahoji ujumbe wa Tanzania wataamua mahojiano hayo yawe mubashara kupitia CNN kuhusu Tanzania, kwa lugha pendwa ya Kiingereza, Wakielekeza hoja zao katika maeneo ya Hali ya demokrasia na uchaguzi wa Tanzania na Tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu baada ya uchaguzi wa 2025.
Je, Tutegemee mahojiano hayo kurushwa mubashara kupitia CNN, BBC, DW, AL JAZEERA...????
Kwa sasa, Maseneta Jeanne Shaheen na Ted Cruz wamewasilisha muswada unaotaka tathmini upya ya mahusiano ya Marekani na Tanzania na unaoruhusu hatua za vikwazo dhidi ya watu watakaobainika kuhusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Hata hivyo, muswada huo bado haujawa sheria.