CCM Imepwaya Kwenye Itifaki Zake

CCM Imepwaya Kwenye Itifaki Zake

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,912
Reaction score
4,120
Sasa hivi upepo wa kisiasa unavyovuma ni dhahiri kiwango Cha kukubalika kwa viongozi wengi wa CCM kimeshuka miongon mwa watanzania na sijuhi kwanini hawajashutukia hili suala

Tangu Chadema irudi kwenye uwanja wa kisiasa baada ya kile kifungo imekuwa imara kuliko hawali

Na uimara huo unawafanya CCM kukosa aman na pengine wanaingiwa uoga , nahisi n kwasababu sasa hivi CCM wanatumia gharama kubwa kwenye mikutano na impact ya mikutano yao kwa chama inakuwa ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wa Chadema

Sasa hivi hii nafasi ya Ndg Kenan Kihongosi Imepwaya sana hyu ndg ameishiwa hoja sasa hivi anakuja na vihoja

Just imagine msemaji wa chama anaitisha press kwa ajiri ya kusema et Cdm walifanya vikao vya siri kwa ajiri ya kuchochea vurugu lakini hana ushahidi wowote wa kuthibitisha kauri yake

Tulitegemea kauri hizi zingetolewa na makachero wa Jeshi la Polisi ila zinapoanza kutolewa na kiongozi wa chama tena kikubwa kama ccm ni dhahiri imekata pumzi sasa anajaribu kutafuta huruma za watu au back up ya Dola

Sasa hivi ccm imekosa watu wenye uwezo wa kujenga hoja zinazoweza kuwa challenge upinzan hasa Act na Chadema na hili jambo wasiposhutuka mapema litawaghalimu
1781457054968.jpg
huko mbelen

Wakumbuke kuwa tembo ni mkubwa na Mnyama wa kuogopwa lakini akifanya makosa ya kuweka pua yake penye siafu au sisimisi inaweza kughalimu maisha yake
 
Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:

"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."

Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania.
 
Huyu Kinena Kihongo siii naona hana jipya, anabwata bwata vitu irrelevant. Kukaza ubongo kwenye mambo ambayo yako dhahiri kwa kutetea uongo kunazidi kumshushia Credibilty. Mbali zaidi kaishiwa hoja anaanza kusingizia CHADEMA kwa mambo ambayo hayana ushahidi.
 
Asha Rose Migiro hivi huoni huyu Kihongosi ni fedheha?
 
Ukimuuliza leta ushaidi wa miamala anaweza kukimbia mbio.Hawa watu wa CCm wanaona watanganyika ni wajinga
 
CCM imeishiwa rasilimali watu ndiyo maana inanunua wapinzani, sasa imagine huyu kilaza Kihongosi ndiyo ameminiwa kuitangaza CCM lakini muda wote anaiongelea Chadema tu.
 
Hata wafanyeje hawana tena Iman kwa wananchi..na hakuna wa kugeuza hilo
 
Ni wazi kuwa Ccm ni chama kilichochokwa na kipo hapo kilipo kwa nguvu ya vyombo vya dola
 
Sio yeye tu hata yule bibi alisema kuna vijana kutoka nje ya nchi, walikodiwa kufanya vurugu 29 Oct
 
Kihongosi kazunguka nchi nzima kufanya siasa lakini ameona kabisa ccm haina mvuto. Sasa ameanza kufanya siasa za kuhadaa umma kama za wapinzani wataleta vita kama Rwanda na Burundi. Propaganda hizi walizitumia ccm miaka ya mwanzoni mwa mfumo wavyama vingi, na kwa kuwa watu walikuwa Bado kwenye hangover ya mfumo wa chama kimoja waliawaokota sana.

Kwa bahati mbaya Kihongosi ama wanaccm wenzake hawataki kuamini kuwa hiki si kizazi kile. Matokeo yake anaishia kuchekesha. Ccm inabidi wakubali tu kuwa zama zao zimepita, vyombo vya dola vinafikia mwisho wa kutumika kama wajinga.
 
Sasa hivi upepo wa kisiasa unavyovuma ni dhahiri kiwango Cha kukubalika kwa viongozi wengi wa CCM kimeshuka miongon mwa watanzania na sijuhi kwanini hawajashutukia hili suala

Tangu Chadema irudi kwenye uwanja wa kisiasa baada ya kile kifungo imekuwa imara kuliko hawali

Na uimara huo unawafanya CCM kukosa aman na pengine wanaingiwa uoga , nahisi n kwasababu sasa hivi CCM wanatumia gharama kubwa kwenye mikutano na impact ya mikutano yao kwa chama inakuwa ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wa Chadema

Sasa hivi hii nafasi ya Ndg Kenan Kihongosi Imepwaya sana hyu ndg ameishiwa hoja sasa hivi anakuja na vihoja

Just imagine msemaji wa chama anaitisha press kwa ajiri ya kusema et Cdm walifanya vikao vya siri kwa ajiri ya kuchochea vurugu lakini hana ushahidi wowote wa kuthibitisha kauri yake

Tulitegemea kauri hizi zingetolewa na makachero wa Jeshi la Polisi ila zinapoanza kutolewa na kiongozi wa chama tena kikubwa kama ccm ni dhahiri imekata pumzi sasa anajaribu kutafuta huruma za watu au back up ya Dola

Sasa hivi ccm imekosa watu wenye uwezo wa kujenga hoja zinazoweza kuwa challenge upinzan hasa Act na Chadema na hili jambo wasiposhutuka mapema litawaghalimu View attachment 3607816huko mbelen

Wakumbuke kuwa tembo ni mkubwa na Mnyama wa kuogopwa lakini akifanya makosa ya kuweka pua yake penye siafu au sisimisi inaweza kughalimu maisha yake
Screenshot_20260404-111943~2.png
 
Chama kikishapoteza uungwaji mkono wa raia nchini kifo chake kipo mlangoni. Political legitimacy ya ccm imepitwa na wakati?.
 
Chama hakina mwenyekiti, makamu mwenyekiti, katibu mkuu wala muenezi hivyo hakiwezi kikabalika na hakuna wa kushtuka. Wangekuwepo, ya MO29 yasingetokea.
 
Sasa hivi upepo wa kisiasa unavyovuma ni dhahiri kiwango Cha kukubalika kwa viongozi wengi wa CCM kimeshuka miongon mwa watanzania na sijuhi kwanini hawajashutukia hili suala

Tangu Chadema irudi kwenye uwanja wa kisiasa baada ya kile kifungo imekuwa imara kuliko hawali

Na uimara huo unawafanya CCM kukosa aman na pengine wanaingiwa uoga , nahisi n kwasababu sasa hivi CCM wanatumia gharama kubwa kwenye mikutano na impact ya mikutano yao kwa chama inakuwa ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wa Chadema

Sasa hivi hii nafasi ya Ndg Kenan Kihongosi Imepwaya sana hyu ndg ameishiwa hoja sasa hivi anakuja na vihoja

Just imagine msemaji wa chama anaitisha press kwa ajiri ya kusema et Cdm walifanya vikao vya siri kwa ajiri ya kuchochea vurugu lakini hana ushahidi wowote wa kuthibitisha kauri yake

Tulitegemea kauri hizi zingetolewa na makachero wa Jeshi la Polisi ila zinapoanza kutolewa na kiongozi wa chama tena kikubwa kama ccm ni dhahiri imekata pumzi sasa anajaribu kutafuta huruma za watu au back up ya Dola

Sasa hivi ccm imekosa watu wenye uwezo wa kujenga hoja zinazoweza kuwa challenge upinzan hasa Act na Chadema na hili jambo wasiposhutuka mapema litawaghalimu View attachment 3607816huko mbelen

Wakumbuke kuwa tembo ni mkubwa na Mnyama wa kuogopwa lakini akifanya makosa ya kuweka pua yake penye siafu au sisimisi inaweza kughalimu maisha yake
Sema huyu dogo anafeli mnooo
 
Back
Top Bottom