Nape anataka Dk Mpango achunguzwe?

Nape anataka Dk Mpango achunguzwe?

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,977
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe!

Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe mahakamani kujibu tuhuma zake za kukopa trilioni 20 kwenye uongozi wake.
20211110_095120.jpg
 
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe!

Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe mahakamani kujibu tuhuma zake za kukopa trilioni 20 kwenye uongozi wake.View attachment 2005339
Raisi wa sasa alikuwa makamu Raisi .
 
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe!

Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe mahakamani kujibu tuhuma zake za kukopa trilioni 20 kwenye uongozi wake.View attachment 2005339
Sio kwa KATIBA HII YA KIDIKTETA ALIYOISEMA NYERERE
 
Nape ni mpayukaji!

Na wanaomtuma wanajua hivyo...

Alitumwa amchafue Lowassa, akamtukana sana yule mzee...

Sasa ametumwa amchafue JPM huenda akafaulu pia, maana maneno yake mengi hupuuzwa na wenye akili.
 
Huyu atakuwa katumwa na msoga gang ili kumchafua JPM hapo amechemka.
wanauchungu sana na jinsi Jiwe alivyowavua nguo uongozi uliomtangulia uliharibu nchi,wanafikiri watajisafisha.
 
soon ataitwa na kamati ya maadili ya bunge na kisha atanyweeaaa ka Gwaji Boy
 
Huyu atakuwa katumwa na msoga gang ili kumchafua JPM hapo amechemka.
wanauchungu sana na jinsi Jiwe alivyowavua nguo uongozi uliomtangulia uliharibu nchi,wanafikiri watajisafisha.
Kumbe aliwavua nguo na kuwadhalilisha wengine.

Acha na yeye wamdhalilishe.
 
Back
Top Bottom