UTUMWA NI NINI?

UTUMWA NI NINI?

Joshua justine

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
788
Reaction score
1,015
Enzi za mababu zetu , MACHIFU, waliumiza sana watu, waliwapiga MNADA kama vile mbuzi ama nguruwe, na wao kujimilikiaha utajiri mkubwa bila kujali wala kuwa na huruma hata kidogo.
Utawala uliendelea chini ya familia zao na vizazi vyao , ambavyo vilinogewa na unyonyaji uliofanywa na wazazi wao, kweli mababu zetu walipitia kipindi kigumu sana mpaka walipokuja kuamua kupambana kwa ajili ya vizazi vyao, waliikomboa damu yao kwa kulipa gharama, wazee na mababu wale ni mfano mzuri sana wa mioyo ya kizalendo.
 
Back
Top Bottom