Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,243
17,491
Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini?

Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea Kiingereza chenye uvunjifu wa sarufi na tafsiri ya neno kwa neno toka Kiswahili kuja Kiingereza. Ya kwanza ni pale alipokuwa anamtishia Mkandaarasi wa kichina kuwa nitakusweka ndani (You will stay inside)

USHAURI:
Namshauri Mh Waziri awe anaongea kwa Kiswahili tu au awe anasoma hotuba alizoandikiwa na wataalamu. Kinyume chake anadhalilisha PhD yake na Vyuo vilivyompa hizo shahada.

Zaidi soma: Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?
 
Basi mtuambie Aon
Hata mie niliyedrop masomo ya History; Geography na Biology nikiwa kidato cha pili namzidi.

Ila wao wanasema ni kigugumizi ndiyo kinamsumbua.
Basi hivi leo Watuambie aongee rugha gani maana hata kiswahili kinamsumbua
 
Hii nayo ni habari?

Jamani tuache ujinga basi maana nyie wenyewe mfumo wetu wa elimu mnaujua.

Mtu mwingine mpaka anapata PhD neo analoweza kulitamka kwa ufasaha ni 'is'.
Wewe ndiye mjinga. Elimu ya Tanzania tunajifunza English kama somo compulsory kuanzia Std 1 mpaka O-level, yaani miaka 11. Na ni language of instruction kwa masomo yote kasoro Kiswahili kuanzia Form 1 hadi University yaani miaka mingine 9. Kisha kama unafanya Masters na PhD una miaka mingine 5. Kwa ujumla ana minimum ya miaka 25 ambayo alikuwa involved au kujifunza lugha au kutumia lugha ya Kiingereza

Hakuna excuse ya kusema eti Watanzania lugha yetu tunayoongea sana ni Kiswahili ndiyo uongee English fyongo kama hiyo ya Joyce. Kulazimisha kuongea "broken English" ni more damaging kuliko kuongea Kiswahili then mkalimani akakusaidia kutafsiri.

Kubalini tu kuwa Kiingereza hakimpendi, abakie kwenye Kiswahili tu, otherwise anajiaibisha kama Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini.
 
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?

Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??

Hovyo kabisa ,shithole mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ni mbovu wa Kiingereza kama Joyce ndiyo maana waja kwa matusi. Siwezi kukurudishia tusi.

Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usijekuwa sawa na yeye.... (Mithali 24:6)
 
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?

Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??

Hovyo kabisa ,shithole mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Phd yake lugha aliyotumia kuipata ni kingereza, kushindwa kuzungumza kingereza vizuri ni lazima tuwe na mashaka research na thesis alizifanyaje?
Angekuwa Mrusi au mchina ingeeeweka lakini kaipata kwa Kingereza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom