Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,977
Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Leo umetangaza bei ya kuunganishiwa umeme ibadilishwe kutoka elfu 27 lakini ukumbuke umeme siyo anasa ni hitaji la msingi kwa wananchi wote bila kujali vipato vyao pia kila tukinunua LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.
Hiyo hela inaenda wapi?
Unajua ni kwa nini awamu ya tano mliweza kuunganisha umeme kwenye zaidi ya vijiji elfu 8? Kwa hali hii mtaweza kumaliza vijiji elfu 2 vilivyobaki?
Unajua kuwa vijijini miundombinu ni mbovu kabisa na nguzo za umeme hakuna ,kwa hiyo hao ndiyo wapandishiwe bei ya kuunganisha?