Tujikumbushe Mwita Waitara alipokuwa CHADEMA

Waliofikia bei wasubiri kura za maoni ndani ya chama chao cha kijani tuone wanavyopigwa chini.
 
Duuuuh!
 

Attachments

  • 2329435_tanzaniadaimatz___B9YneKvAYPx___.jpeg
    2329435_tanzaniadaimatz___B9YneKvAYPx___.jpeg
    49.2 KB · Views: 1
Dah kumbe unaeza kuvuta bange,ukamtukana prezoo kuwa jipu na badae ukapewa kitengo pembeni ya prezoo!! Tumtagi jpm jamani
 
Wabongo wamezana na hili neno "Usaliti" haijulikani hata walichosalitiwa ni kipi?
 
Back
Top Bottom