Mbatia, Ndugai atafika mbele ya Bunge Februari kujiuzulu, ameanza kujiuzulu dhamana aliyokabidhiwa na chama kwa sababu hiki siyo kipindi cha Bunge

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,954
Ni kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha kipindi ambacho hakuna Bunge linaendelea. Ilikuwa haiwezekani kujiuzulu mbele ya Bunge maana ilo Bunge halijakaa litakaa February

Endapo angeitisha bunge maaalumu kwa ajili ya kutangaza kujiuzulu mambo mawili yangetokea yasiyo na tija
1. Angevunja katiba kwa sababu kujiuzulu kwake hakujatajwa kwamba ataitisha Bunge la dharura.
2. Wabunge wangelazimika kulipwa stahiki za vikao vya dhararu pesa ambayo Ingetokana na kodi za wananchi na may muhimili wa serekali unaotunza fedha ungeweza kuzalisha audit query au Kugoma kulipa Kama ambavyo umewahi kuingilia bunge Hadi wakarejesha fedha kwa JPM

Kwa msingi huo Mhe Ndugai yupo sahihi kumjulisha Katibu wa Chama na kuwapa nakala Bunge Kwa ajili yakuanza maandalizi ya kujaza nafasi itakayokuwa wazi kikatiba hapo February. Hivyo takwa la kikatiba litatimizwa kwenye kikao kijacho Cha Bunge ambacho kitapokea taarifa rasmi ya kujiuzulu uspika na baadaye taratibu za kumpata spika mpya kufanyika.

Nimwombe Mhe. Mbatia asiangaike kwenda Mahakamani maana anachotaka kifanyike leo kisingeweza kufanyika hadi February. Kwa tafsiri nyingine Bunge halina taarifa rasmi yakujiuzulu kwa Spika hadi litakapokaa na kupewa taarifa ndipo mchakato wa kosheria wa kujiuzulu utakapokamilika.

Mwisho, nishukuru kwamba wale wote walioshindwa kutumia akili na maarifa waliyopewa na Mwenyenzi MUNGU wanavuliwa nguo. Ndugai alishindwa kujua Spika ana kazi gani yeye akawa anaambatana na RAIS Kila anapokwenda, akawa anapokea maelekezo Nini akafanye Bungeni, Leo wale waliomtuma wamemtumbua kwa fedhea
 
Fundi Mchundo

Platinum Member
Nov 9, 2007
7,993
5,222

2. Wabunge wangelazimika kulipwa stahiki za vikao vya dhararu pesa ambayo Ingetokana na kodi za wananchi na may muhimili wa serekali unaotunza fedha ungeweza kuzalisha audit query au Kugoma kulipa Kama ambavyo umewahi kuingilia bunge Hadi wakarejesha fedha kwa JPm

Katiba inamtaka amuandikie barua ya taarifa Katibu wa Bunge. Haijataja kikao maalum cha Bunge. Na ofisi za Bunge ziko wazi siku zote.

Wabunge ataenda kuwaaga tu kama Spika wao. Ila atabaki nao kama mbunge wa kawaida.

Amefanya kiburi tu.

Amandla...
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
24,768
25,397
Katiba inamtaka amuandikie barua ya taarifa Katibu wa Bunge. Haijataja kikao maalum cha Bunge. Na ofisi za Bunge ziko wazi siku zote.

Wabunge ataenda kuwaaga tu kama Spika wao. Ila atabaki nao kama mbunge wa kawaida.

Amefanya kiburi tu.

Amandla...
Katibu wa Bunge anateuliwa na Rais!
 
akilinene

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
470
383
Katiba inamtaka amuandikie barua ya taarifa Katibu wa Bunge. Haijataja kikao maalum cha Bunge. Na ofisi za Bunge ziko wazi siku zote.

Wabunge ataenda kuwaaga tu kama Spika wao. Ila atabaki nao kama mbunge wa kawaida.

Amefanya kiburi tu.

Amandla...
Hilo neno Katibu wa Bunge unaweza kuthibitisha ni wapi limetajwa kwenye Katiba au umesimuliwa mkuu?
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,416
8,583

IMG-20220106-WA0051.jpg
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,416
8,583
Someni Katiba invyotamka hapo kwenye post namba 5. Spika gani kilaza namna hiyo na ndio mnategemea asimamie sheria asizozijua?
 
Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
12,506
9,302
Ni kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha kipindi ambacho hakuna Bunge linaendelea. Ilikuwa haiwezekani kujiuzulu mbele ya Bunge maana ilo Bunge halijakaa litakaa February

Endapo angeitisha bunge maaalumu kwa ajili ya kutangaza kujiuzulu mambo mawili yangetokea yasiyo na tija
1. Angevunja katiba kwa sababu kujiuzulu kwake hakujatajwa kwamba ataitisha Bunge la dharura.
2. Wabunge wangelazimika kulipwa stahiki za vikao vya dhararu pesa ambayo Ingetokana na kodi za wananchi na may muhimili wa serekali unaotunza fedha ungeweza kuzalisha audit query au Kugoma kulipa Kama ambavyo umewahi kuingilia bunge Hadi wakarejesha fedha kwa JPm

Kwa msingi huo Mhe Ndugai yupo sahihi kumjulisha Katibu wa Chama na kuwapa nakala Bunge Kwa ajili yakuanza maandalizi ya kujaza nafasi itakayokuwa wazi kikatiba hapo February. Hivyo takwa la kikatiba litatimizwa kwenye kikao kijacho Cha Bunge ambacho kitapokea taarifa rasmi ya kujiuzulu uspika na baadaye taratibu za kumpata spika mpya kufanyika.

Nimwombe Mhe. Mbatia asiangaike kwenda Mahakamani maana anachotaka kifanyike leo kisingeweza kufanyika hadi February. Kwa tafsiri nyingine Bunge halina taarifa rasmi yakujiuzulu kwa Spika hadi litakapokaa na kupewa taarifa ndipo mchakato wa kosheria wa kujiuzulu utakapokamilika.

Mwisho, nishukuru kwamba wale wote walioshindwa kutumia akili na maarifa waliyopewa na Mwenyenzi MUNGU wanavuliwa nguo. Ndugai alishindwa kujua Spika ana kazi gani yeye akawa anaambatana na RAIS Kila anapokwenda, akawa anapokea maelekezo Nini akafanye Bungeni, Leo wale waliomtuma wamemtumbua kwa fedhea
Ukikosa kutumia akili yako vizuri ndo unawaza uzwazwa kama hivi.
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
5,730
4,674
Hivi bunge halina mwanasheria wake? kama yupo Ndugai alishindwa kumtumia na kwann asijitokeze kutoa ufafanuzi wa kilichofanyika au basi mwanasheria wa serikali kwann wako kimya.
 
mnyoriii

JF-Expert Member
Apr 18, 2020
507
491
Hivi bunge halina mwanasheria wake? kama yupo Ndugai alishindwa kumtumia na kwann asijitokeze kutoa ufafanuzi wa kilichofanyika au basi mwanasheria wa serikali kwann wako kimya.
Wanasheria wa Serikali wapo tele kule Sinza wanapambana na SENIOR COUNCIL Adv Msomi Kibatala kwenye mchongo wenye mapingamizi million kidogo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kibingu

JF-Expert Member
Jan 6, 2022
1,079
1,437
Ni kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha kipindi ambacho hakuna Bunge linaendelea. Ilikuwa haiwezekani kujiuzulu mbele ya Bunge maana ilo Bunge halijakaa litakaa February

Endapo angeitisha bunge maaalumu kwa ajili ya kutangaza kujiuzulu mambo mawili yangetokea yasiyo na tija
1. Angevunja katiba kwa sababu kujiuzulu kwake hakujatajwa kwamba ataitisha Bunge la dharura.
2. Wabunge wangelazimika kulipwa stahiki za vikao vya dhararu pesa ambayo Ingetokana na kodi za wananchi na may muhimili wa serekali unaotunza fedha ungeweza kuzalisha audit query au Kugoma kulipa Kama ambavyo umewahi kuingilia bunge Hadi wakarejesha fedha kwa JPm

Kwa msingi huo Mhe Ndugai yupo sahihi kumjulisha Katibu wa Chama na kuwapa nakala Bunge Kwa ajili yakuanza maandalizi ya kujaza nafasi itakayokuwa wazi kikatiba hapo February. Hivyo takwa la kikatiba litatimizwa kwenye kikao kijacho Cha Bunge ambacho kitapokea taarifa rasmi ya kujiuzulu uspika na baadaye taratibu za kumpata spika mpya kufanyika.

Nimwombe Mhe. Mbatia asiangaike kwenda Mahakamani maana anachotaka kifanyike leo kisingeweza kufanyika hadi February. Kwa tafsiri nyingine Bunge halina taarifa rasmi yakujiuzulu kwa Spika hadi litakapokaa na kupewa taarifa ndipo mchakato wa kosheria wa kujiuzulu utakapokamilika.

Mwisho, nishukuru kwamba wale wote walioshindwa kutumia akili na maarifa waliyopewa na Mwenyenzi MUNGU wanavuliwa nguo. Ndugai alishindwa kujua Spika ana kazi gani yeye akawa anaambatana na RAIS Kila anapokwenda, akawa anapokea maelekezo Nini akafanye Bungeni, Leo wale waliomtuma wamemtumbua kwa fedhea
Kwa sasa Ndugai bado ni Spika.
 
field marshall1

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
1,102
2,652

Mbatia uwezo wake wa kufikiri una walakini sana, Hivi unataka ajiuzulu kivipi? Ndiye aliyesema watakuwa chama cha upinzani bungeni.....baada ya kuahidiwa na John Magufuli....Acha kigeugeu huyu Mbatia.
 
Mwanga Mkali

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
863
1,447
Mwajiri wa spika ni chama maana ndio kilimdhamini kuwa spika ....bila CCM katibu wa Bunge hamtambui Job.....katibu wa Bunge anapokea barua ya chama kuthibitisha kujiuzuru kwa mtumishi wake. Na katiba imeelezea vizuri kujiuzuru kutaelekezwa kwenye mamlaka zilizo kuteua. Job kateuliwa na CCM na kupigiwa kura na bungeni.

Ni kazi ya mwajiriwa wa bunge (katibu) kupokea taarifa na kuanza maandalizi ya uchaguzi wa spika baada ya kupokea jina toka kwa mdhamini wa mgombea.
 
Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
1,288
1,597
Jina la Mgombea wa uspika huwa in moja au zaidi.Naona maluweluwe
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
15,898
21,577
Mwajiri wa spika ni chama maana ndio kilimdhamini kuwa spika ....bila CCM katibu wa Bunge hamtambui Job.....katibu wa Bunge anapokea barua ya chama kuthibitisha kujiuzuru kwa mtumishi wake. Na katiba imeelezea vizuri kujiuzuru kutaelekezwa kwenye mamlaka zilizo kuteua. Job kateuliwa na CCM na kupigiwa kura na bungeni.

Ni kazi ya mwajiriwa wa bunge (katibu) kupokea taarifa na kuanza maandalizi ya uchaguzi wa spika baada ya kupokea jina toka kwa mdhamini wa mgombea.
Hayo ni mawazo Yako na Wala si Katiba ilivyotamka!Katiba Iko bold,imesema Spika atajiuzulu Kwa kutoa taarifa ya kujiuzulu Kwa Bunge!ndio maana hata Mbunge atajiuzulu Kwa kutoa taarifa Kwa Spika sio Kwa Chama chake kilichomdhamini!
Rejea wabunge waliowahi kujiuzulu awali kama Nyalandu,walitoa taarifa Kwa Spika na sio kama usemavyo wewe!
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,233
25,108
Mwajiri wa spika ni chama maana ndio kilimdhamini kuwa spika ....bila CCM katibu wa Bunge hamtambui Job.....katibu wa Bunge anapokea barua ya chama kuthibitisha kujiuzuru kwa mtumishi wake. Na katiba imeelezea vizuri kujiuzuru kutaelekezwa kwenye mamlaka zilizo kuteua. Job kateuliwa na CCM na kupigiwa kura na bungeni.

Ni kazi ya mwajiriwa wa bunge (katibu) kupokea taarifa na kuanza maandalizi ya uchaguzi wa spika baada ya kupokea jina toka kwa mdhamini wa mgombea.
Umeandika upuuzi mtupu. Hakuna unachojua. Kasome katiba.

Hata wabunge wanadhaminiwa na vyama lakini wakijiuzulu, wanaandika barua kwa spika.

Spika amedhiniwa na chama chake kugombea nafasi ya uspika, lakini aliyemchagua kuwa spika, siyo chama chake. Na sheria ipo wazi kuwa spika atapaleka taarifa ya kujiuzulu Bungeni, siyo kwenye chama.

Ni akili ndogo sana inahitajika kuelewa hili. Ndugai siyo kwamba haelewi ila amefanya hivyo kuonesha kwamba ameshinikizwa na chama, na hivyo kuwataarifu hao waliomshinikiza kuwa kama uspika ni mali ya chama, basi amejiuzulu, lakini, kikatiba hajajiuzulu bado.
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,859
Ni kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha kipindi ambacho hakuna Bunge linaendelea. Ilikuwa haiwezekani kujiuzulu mbele ya Bunge maana ilo Bunge halijakaa litakaa February

Endapo angeitisha bunge maaalumu kwa ajili ya kutangaza kujiuzulu mambo mawili yangetokea yasiyo na tija
1. Angevunja katiba kwa sababu kujiuzulu kwake hakujatajwa kwamba ataitisha Bunge la dharura.
2. Wabunge wangelazimika kulipwa stahiki za vikao vya dhararu pesa ambayo Ingetokana na kodi za wananchi na may muhimili wa serekali unaotunza fedha ungeweza kuzalisha audit query au Kugoma kulipa Kama ambavyo umewahi kuingilia bunge Hadi wakarejesha fedha kwa JPM

Kwa msingi huo Mhe Ndugai yupo sahihi kumjulisha Katibu wa Chama na kuwapa nakala Bunge Kwa ajili yakuanza maandalizi ya kujaza nafasi itakayokuwa wazi kikatiba hapo February. Hivyo takwa la kikatiba litatimizwa kwenye kikao kijacho Cha Bunge ambacho kitapokea taarifa rasmi ya kujiuzulu uspika na baadaye taratibu za kumpata spika mpya kufanyika.

Nimwombe Mhe. Mbatia asiangaike kwenda Mahakamani maana anachotaka kifanyike leo kisingeweza kufanyika hadi February. Kwa tafsiri nyingine Bunge halina taarifa rasmi yakujiuzulu kwa Spika hadi litakapokaa na kupewa taarifa ndipo mchakato wa kosheria wa kujiuzulu utakapokamilika.

Mwisho, nishukuru kwamba wale wote walioshindwa kutumia akili na maarifa waliyopewa na Mwenyenzi MUNGU wanavuliwa nguo. Ndugai alishindwa kujua Spika ana kazi gani yeye akawa anaambatana na RAIS Kila anapokwenda, akawa anapokea maelekezo Nini akafanye Bungeni, Leo wale waliomtuma wamemtumbua kwa fedhea
Mbona Katibu wa Bunge kapewa Nakala kwanini Apewe Asisubiri hiyo February

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
11,313
10,478

Ila mwandiko wako si mchezo. Anyway ujumbe umefika.
 
14 Reactions
Reply
Top Bottom