Ukwepaji huu wa kodi kwenye minada, Serikali na TRA Mnazidiwa mbinu na Wafanyabiashara Wahuni?

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,035
6,902
Umofia kwenu.

Nimesoma makala moja imenisikitisha kidogo Kuhusu ukwepaji kodi unafanyika kwenye biashara za minada huku TRA ikiambulia hasara.

Haiingii akilini mfanyabiashara akadhamilia kukwamisha mnada kwa kutaja bei kubwa alafu anatokomea na nyie mlioandaa functions mnaishia kula hasara za gharama za maandalizi,kodi hampati na biashara haifanyiki.

Sasa mnashindwa nini kusema waweke coupon au bond ya kiasi fulani kwa mujibu wa offer yake Ili aki default nae awe ameingia hasara?

Au mtu akitoa offer lazima kodi ichukuliwe kwa namna yoyote kwa sababu huwezi tamka bei ambayo huna,na inaonesha wanatamka Ili kukwamisha.

Ifike mahala matumizi ya guvu kidogo yafanyike sio kila mda ni WA kubembeleza mfanyabiashara.Hakuna mfanyabiashara yuko tayari kulipa kodi kwa hiari.

TRA na Serikali timizeni wajibu wenu ndio mko ofisini mnalipwa kodi zetu.
 
Hapo kwenye red 👣👣👣👣👣
 
Kuna jamaa aliifanya serikali iogopwe na kila mtu kiasi kwamba watu taratibu wakaanza kukaa kwenye mstari, tukamuona fala na kumuita mshamba na majina mengi ya hovyo..

Serikali isipoogopwa na Raia wake matokeo yake ni watu kujifanyia mambo hovyo hovyo na kutia nchi hasara na watu wengi kuteseka kwa ujinga na ufinyu wa akili wa wachache..
 
Kazi ya serikali ni kung'ata na kupuliza.

Trump na utajiri wake wate ana kesi ya kukwepa kodi, mfanyabiashara biashara siku zote anataka kujilimbikizia mali na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom