Hawa ndiyo wanasadikiwa kuwa ni wana CCM waliotaka kuachana na utamaduni wao wa 'miaka 10' aachiwe mwanaCCM aliyepo Ikulu aendelee 2025.
Vigogo wazito kama Spika Job Ndugai, waziri mzalendo namba...
Kauli yako ilipokelewa kishujaa sana ,baada ya Rais Samia kukujibu ulitakiwa ujiuzulu ,kosa ulilofanya ni kuomba msamaha ,hapo kwa kweli uliharibu sana sana tu.
Hoja yako ilikuwa makini sana...
Popote alipo NS Tulia Ackson, PhD angetulia tu kwenye kiti chake cha enzi cha unaibu spika, natambua hapo alipo anatamani kuweka enzi yaani yale matamanio ya kisiasa ya kupanda juu ulipo chini...
Kumbe muda wote serikali ya CCM inapanga na kutekeleza miradi mbalimbali haikuwa na chombo cha kusimamia miradi hiyo ili kuhakikisha matokeo. Sasa wameamua kuwa ili matokeo ya miradi hiyo...
Ujumbe wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, kabla ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, ulikuwa wazi. Ni kuwa mabadiliko ya Baraza yamefanyika ili 'kubaki' na wa kwenda nao pamoja 2025 na 'kuwapa...
Nawasalimu nyote,
Mimi si muhumini wa chama tawala tangu nilipojitambua. Ukweli hii nchi yetu ilikuwa imefikia pabaya sana kipindi cha awamu ya tano, kuna madhira mengi mno yalokuwa yamejificha...
RIDHIWAN KIKWETE HANA SIFA ZA KUITWA WAZIRI WA WATANZANIA
(i) "HATIMAYE MAMA AMEPATA AINA YA WATU WA KWENDA NAYE”
(ii) "JE, ATAACHA KULALAMIKA? ATAACHA KUTOA VISINGIZIO VYA KUSHINDWA?”
Rais...
Nawasalimu Kwa Jina La JMT.
Katika teuzi mpya zilizofanywa na Mheshimiwa Raisi Mama Samia Suluhu Hassan ni kupangua safu za baadhi ya wakuu wa mikoa.
Mabadiliko yaliyonistua ni kuondolewa kwa RC...
Ni taarifa za hivi karibuni kabisa kutoka kwa watu walio karibu na mbunge wa Nzega vijijini, Dkt. Kigwangalla.
Taarifa zinasema Kigwangalla atachukua fomu kesho pale Dodoma na tayari Wabunge...
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo januari 14, mwaka huu wa kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole...
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima...
Kutokana na namna ambavyo imedhihirika kwamba sasa Spika hawezi kuwa na uhuru wa kuruhusu mijadala yenye afya kwa watanzania ndani ya bunge kwa hofu ya "kushughulikiwa" na chama (kwa vyama vyote)...
Kati ya watu walio kwenye kumbukumbu ya kuutaka urais.
Mwigulu Nchemba Madelu, ni mmojawapo,na ushahidi bado maandishi yako kwenye mawe katika barabara kuu nyingi yakisomeka
"mwigulu for...
Kubalini upatiakanaji wa katiba mpya utakao harakisha maendeleo ya Taifa letu kwa ujumla.
Katiba ni kama business plan.
Nchi yetu inahitaji "Busness plan" itakayo endana na zama hizi za uwazi na...
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza...
Ukumbile Ikina ikitali uje kwingila juughwe Mzee Ndugai, tukubhakana loli 😅
Wakati Mwingine ukiishi kwa uaminifu mwingi mitandaoni hukosi la kujifunza. Hivyo hata vyeo vyenu mngetathimini kwa...
Kwa kuzingatia ibara ya 51(2) juu ya uteuzi wa nafasi ya waziri mkuu ambacho kinasema:
"Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku
kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais...
1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.
2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.
3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.
4. Mafuta ya gari lake lita...
Wakazi wa wilaya ya Chato wamemshukuru sana Rais Samia kwa kuwapatia jumla ya tsh 3.24 bilioni walizotumia kujenga Shule mpya 13 za sekondari, Madarasa 188 na Matundu ya Choo ya kutosha.
Mbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.