Prof. Kabudi ndiye Waziri mkuu wa JMT mtarajiwa. Ni suala la muda tu.

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Kwa kuzingatia ibara ya 51(2) juu ya uteuzi wa nafasi ya waziri mkuu ambacho kinasema:
"Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku
kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua
Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi
anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi
Bungeni au kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge
wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio
wengi kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye hatashika
madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa
na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge
walio wengi".

Kwa kuzingatia hitaji la ibara hii ambayo inahitaji uteuzi wake uthibitishwe na bunge hivyo uteuzi wake umeachwa kwa kusudi maalumu.

Mosi, kwa sasa bunge halifanyi kazi hivyo hata akiteuliwa uteuzi wake hautakuwa valid mpaka pale vikao vya bunge vitakapoanza hapo mwezi wa pili ili aweze kuthibitishwa.

Pili, Haitakuwa na maana kumteua katika nafasi nyingine halafu kuja kutengua uteuzi kumteua tena. Hivyo nafasi hiyo imeachwa pending kwa kusudi maalumu.

Ni suala la muda tu kabla halijatokea
 
Anaenda kuwa spika huyo
 
CHAWA wameanza,baada ya kuona mume wake kapigwa chini.
 
Usipoangalia vizuri utaota unakoja kitandani wewe
 
Safari ya kurudi jalalani imewadia
images_edit_50295022792845.jpg
 
Comment za humu khaaa
Vyovyote vile poa tu

Nchi inachosha hii
Viwanja bei juuuuuuuuuu hahahhh
Turudi mujini kula bata

Out of topic: wazambarau leo ana statement za mkanganyiko kulikoni
Tulikuambia bro tulizana hukutaka kusikia
Jina limekatwa ama vep?!!
 
Back
Top Bottom