Tujikumbushe kidogo!
Wakati wa spika Sitta,serikali ilisimamiwa ipasavyo na bunge!Ilipelekea mijadala mingi kupenya bungeni na kujadiliwa!Viongozi wa CCM walimlalamikia Sitta kwa kuiruhusu...
Kuna suala la wanafunzi watakaoanza kidato cha kwanza ambao hawatakuwa na uwezo wa kununua sare waendelee na zile za shule ya msingi , kauli hiyo ilitolewa na aliyekuwa waziri wa Tamisemi...
Samahan Wakuu Wangu
Hivi Siri za baraza la Mawaziri ambazo Mawaziri Huwa wanaapa kuzificha ni ule ushauri wanao mpa Raisi ama ni Siri Gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari!
Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu.
Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia.
Ardhi yetu...
Inadaiwa amerejea kinyemela au kwa lugha ya kistaarabu amerejea kimya kimya , halafu karejea peke yake , Haifahamiki mwenzake kamuacha wapi .
Dkt. Slaa amerejea Tanzania baada ya kustaafu ubalozi...
Nawasalimu kwa Jina la JMT
Leo napenda kutoa uchambuzi wangu kidogo juu ya Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri
Kwa Mawaziri
Kwanza napenda kusema Mama hajafanya vibaya! Mawaziri ni wasimamizi wa...
Nape aliposema CCM ina wenyewe wengi hawakumuelewa! Nape alimaanisha kuwa CCM imeshikiliwa na kundi fulani la watu wenye nguvu na ushawishi wao ndio huamua wanamtaka nani ndani ya CCM na nani...
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema wanafunzi watako anza kidato cha kwanza mwaka huu waende shuleni hata na nguo za shule ya Msingi ili mradi waingie darasani!
Kusema ukweli huu uamuzi ni wa...
Binafsi nimeshituka kusikia waziri anasema kati ya cheti feki kiasi cha alfu kumi na tano hivi 4000 wamerudishwa. Kiasi hiki ni kikubwa sana. Hii inatia shaka kama zoezi la kuwatambua lilifanyika...
Katika kuzingatia màhitaji ya wakati huu kisiasa, watu wengi wamejiweka katika nafasi za kisiasa na kila mmoja akijiona mbobezi wa mambo ya siasa na mchambuzi mahili, hapa yamejitokeza makundi...
Si mtego mgumu...lakini ni mtego mkali... CCM kwa miaka yote imejitahidi sana kukwepesha na wakati mwingine kuahirisha milongas ya mihimili.
Kuanzia wakati wa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere na...
Nimejulishwa na wakili anayesimamia jopo la utetezi kutoka THRDC kuwa leo Jamhuri itampeleka Optter mahakamani.
Optter ameshikiliwa zaidi ya siku 10. Pamoja na tuhuma za kimtandao, amebanwa...
Siku chache zilizopita wanachama wawili wa JF johnthebaptist na Ngongo walijiapiza kwamba ni lazima Hamisi Kigwangwala aapishwe kuwa Waziri wa Afya , hawakuishia hapo bali wakaendelea kutuaminisha...
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma...
Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi.
Katika mjadala...
Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna...
"Uzoefu unaonesha kuwa vijana mnageuzwa ngazi na kuwabeba na kuwa ngazi ya watu wanaotaka uongozi kwa tamaa za fedha na ahadi za nafasi za uongozi, mjiulize kama hao mliowabeba wangeonesha...
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!
2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa...
Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.