Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by baraka boki, Jul 29, 2011.

 1. b

  baraka boki Senior Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Kada wa Chama cha Mapinduzi, ndugu Paul Makonda ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu katika Chuo cha Ushirika na Rais wa Chuo ndugu Godfrey Washoto lakini katika hali isiyojulikana Bunge limekataa kumuidhinisha kuwa Waziri Mkuu kutokana na kwamba ndugu Paul Makonda amekuwa haeleweki na wabunge hawana imani naye kutokana na kuahirisha miaka kila mara na miaka yote hamalizi chuo.

  Bunge la chuo limehairishwa bila kupata muafaka
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Sa hii nayo ni habari kweli?
   
 3. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  peleka kwenye website ya chuo chako kawajuze wadau wenzako.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ndo maana hata mkasoma ushirika,mna mambo ya kijinga kijinga 2..
   
 5. N

  NELSON RUKIZA New Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jaman mpondeni mtu na sio chuo coz ma funs wengine tunasoma humuhumu so haifaiiiii...although jamaa hatumkubali
   
 6. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  jamani...mambo ya kitoto mnaleta kwetu sisi ...wanafunzi bado hao....wanalinda na serikali......hawana kodi hata moja...usilete tena habari za wanafunzi hapa
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  nelson rukiza, nahisi hili jina si geni kwangu, umesoma advance St. Mathew, ukahitimu 2009?
   
 8. WILSON J

  WILSON J Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  makonda anaweza, ni muwajibikaji anamawazo chanya yenye kuweza kuwaletea wanafunzi wa muccobs maendeleo katika njanja ya elimu. Wanaomponda wana chuki binafsi.
   
 9. F

  Florian Mshanga Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Sasa mpende msipende makonda ni pm
   
 10. A

  Ammynito New Member

  #10
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa inaoekana alikosa mada ya kuandika.........
   
 11. Miss Natafuta

  Miss Natafuta JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 17,376
  Likes Received: 28,404
  Trophy Points: 280
  hivi makonda alikuja kumaliza chuo?
   
 12. Miss Natafuta

  Miss Natafuta JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 17,376
  Likes Received: 28,404
  Trophy Points: 280
  Paul Makonda ambeye ni waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi wa MUCCOBS amewaragaraza marais zaidi ya sita kutoka katika vyuo vya elimu ya juu hapa tanzania katika kinyang'anyiro cha kugombea uraisi wa TAHLISO.

  Paulo Makonda ambaye pia ni kada maakini wa ccm ameudhibitishia umma kwamba yeye ni kiongozi anayekubalikana anavuto kwa watanzania ndani ya ulingo wa siasa na nje pia.

  Nani kama MAKONDA???
   
 13. Miss Natafuta

  Miss Natafuta JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 17,376
  Likes Received: 28,404
  Trophy Points: 280
  naomba muendelezo wa hii thread jamani
   
 14. Denis denny

  Denis denny JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2016
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 5,583
  Likes Received: 7,292
  Trophy Points: 280
  Endeleza mwenyewe..afu muulize Makonda hicho chuo cha ushirika alimaliza ali clear sup
   
 15. Miss Natafuta

  Miss Natafuta JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 17,376
  Likes Received: 28,404
  Trophy Points: 280
  wee
   
 16. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #16
  Aug 16, 2016
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,431
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ukichangia NA kufeli Mara KWA Mara pia lengo lake kubwa lilikuwa kutumika Kuleta usaliti VYUO vikuu Wakati wa kudai boom KWA kigezo Cha shirikisho la VYUO vikuu
   
 17. barafu

  barafu JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2016
  Joined: Apr 28, 2013
  Messages: 5,954
  Likes Received: 22,580
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa wakati huo yalikuwa kama mambo ya "kitoto" sbb hatukujuwa kesho yetu.
  Huu uzi ni wa 2011,hata bado Makonda hajamvuruga Jaji Warioba pale Ubungo Plaza.Kipindi hiki dogo alikuwa mtumwa wa Samwel Sitta.
  Kumbe ni kweli dogo ali-disco mpaka chuo kikamchoka,hii ingeandikwa leo ingeonekana ni majungu.But this is 2011,Asante Sana Jamii Forum
   
 18. Diva Beyonce

  Diva Beyonce JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2016
  Joined: Mar 6, 2014
  Messages: 12,957
  Likes Received: 6,044
  Trophy Points: 280
  Kumbe ali disco huko Ushirika, kusoma kote arts!!
   
 19. barafu

  barafu JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2016
  Joined: Apr 28, 2013
  Messages: 5,954
  Likes Received: 22,580
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kumshika,mwambie akupe Transcript
   
 20. Siasa Basi

  Siasa Basi JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2016
  Joined: Jul 10, 2016
  Messages: 980
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 180
  Asee Jf ni kiboko, kwa hiyo hata Transcript tu hana hahahaaaaaa
   
Loading...