Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya Tanzania imetoa siku saba kwa kiwanda cha kutengeneza saruji cha Dangote kilichopo Msijute, Mtwara kuwasilisha taarifa ya utendaji wake katika Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) ili...
6 Reactions
38 Replies
7K Views
Hii kesi ina ya Ugaidi ya makomandoo wa jeshi na kiongozi wa upinzani inayoendelea ina maajabu yake mpaka sasa, mimi nitataja machache, mengine ongezeeni. 1. Ni darasa huru la kuwafundisha polisi...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Hatuwezi kujisifu kuwa hii ni demokrasia bali ni fujo na ukosefu wa mwelekeo na sera za Taifa. Hadi sasa kama Taifa hatujui kama tunafuata ujamaa au ubepari. Viongozi huandaliwa, hufunzwa na...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Hayati BABA wa TAIFA na TANU yake Walidai UHURU wa NCHI kutoka kwa Watawala wa KIKOLONI Watawala ambao Walikuwa ni KATILI na Wangeweza kumkamata na Kumpa KESI ya UHAINI lakini HAWAKUFANYA hivyo...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Salaam Wakuu, Leo tarehe 13/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP...
17 Reactions
129 Replies
26K Views
Leo nimekuja na swali mahususi kwa wapinzani lakini pia linaweza kuulizwa hata kwa CCM ikiwa nao wataanza kurithi tabia hii ya wapinzani ya kususa. Watu wana ndoto na mipango wanapojiunga na...
1 Reactions
8 Replies
717 Views
IWAPO MIMI #JOSEPH #YONA NIKICHAGULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE LETU TUKUFU.....MANIFESTO YANGU MAMBO 14 Iwapo nikiukosa Uspika wa Bunge letu tukufu, Naibu Spika #Tulia #Ackson Naibu SPIKA Anafaa kuwa...
1 Reactions
8 Replies
999 Views
Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Sote tunakumbuka ulivyotukana Wazee wetu tena kwa kiburi majivuno ukifoka kama unawafokea watoto wadogo. Hilo halikuwahi kufanyika na kiongozi mwingine yeyote. Kitendo cha kuhamishiwa Mkoa...
14 Reactions
59 Replies
7K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri na manaibu Waziri wahakikishe siri za serikali hazivuji kufika katika mitandao ya kijamii kama ambavyo imeendelea kuwa Nukuu 'Imekuwa kama maradhi...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA-KIKWETE AMEJITAHIDI KATIKA KIPINDI CHAKE JAMANI-TAKWIMU HIZI Na mpombe mtalika. Wakati tukikaribia kumaliza mwaka 2014 na kuingia mwaka 2015 pia kama taifa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema kuna tatizo kubwa kwenye umiliki wa mali katika makanisa kiasi cha kuleta changamoto kwenye ulipaji wa kodi. Simbachawene amesema kuna mali...
24 Reactions
74 Replies
50K Views
Hakuna chama ambacho kimewahi kuumizwa, kuteswa na kutoa gharama kubwa kwaajili ya ustawi wa Tanzania kama CHADEMA. Sikuwahi kusikia kama Mwingereza aliwahi kuua viongozi wa TANU wakati wa...
38 Reactions
91 Replies
5K Views
Rais Samia, Ukweli ni kwamba kama kiongozi hajiheshimu hastahili kuheshimiwa hata kama kiongozi huyo ni wewe. Kila kiongozi kwa nafasi yake ni Taasisi. Kama anadharaulika basi hata taasisi...
1 Reactions
2 Replies
782 Views
Aman iwe nanyi wakuu Kwa kweli inchi yetu inaelekea shimoni aisee Rais anapewa sifa za Kimungu na hakemei Hakuna hata kiongozi mmoja wa dini ambaye kajitokeza na kukemea Ni kweli Rais anachapa...
4 Reactions
43 Replies
6K Views
Mustakabali wa madikteta unazidi kufifia hata hivyo viongozi wa kidemokrasia wanapaswa kuchukua hatua bora zaidi ili kuzikabili changamoto za dunia amesema Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la...
2 Reactions
9 Replies
952 Views
Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
15 Reactions
170 Replies
11K Views
Mkuu wa mkoa wa Mara Salum Happi amesema serikali haijarejesha Ada katika shule zake. Happi amewataka wananchi kupuuza uzushi huo. === Mkuu wa mkoa wa Mara Bw. Ally Hapi amewataka wananchi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hii tunarudia kumwambia raisi Samia na washauri wake (ambao katika hili sioni kama walimshauri) kuwa kama ulishaamua kuwatema hawa watu basi endelea na msimamo wako. Ni hiari ya raisi kuteua na...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Jana katika mkutano wako na wateule wa uwaziri na manaibu, mojawapo ya mambo uliyoyakazia ni kuheshimu taasisi ya Urais. Umekwenda mbali na kusema kama anayeikalia taasisi hiyo humpendi/...
4 Reactions
8 Replies
882 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…