Simbachawene kuanza ziara makambi na makazi ya wakimbizi mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora, kuwahamasisha kurejea nchini kwao kwa hiari

Bandamwagaz

Member
Feb 19, 2020
18
36
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene kesho Agosti 16, 2020, anatarajia kuanza ziara yake ya kutembelea makambi na makazi ya wakimbizi katika Mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora.

Akizungumza na Mwandishi wa Habari hii, jijini Dar es Salaam, leo, Waziri Simbachawene amesema, lengo la ziara hiyo ni kutembelea makambi na makazi ya wakimbizi hayo pamoja na kuwahamasisha kurekea nchini kwao kwa hiari.

Waziri Simbachawene pia amesema kwa takwimu ya Agosti 5, 2020, Wakimbizi waliopo nchini ni *289,664* , na Wakimbizi waliorejea nchini kwao ni *88,929,* na idadi wanaosubiria kurejeshwa kwao kwa hiari ni Wakimbizi *2,972* na idadi wanaojiandikisha inaendelea kuongezeka kwa kasi.

"Kesho Jumapili Agosti 16, 2020, nitawasili mjini Kigoma asubuhi, na nitakutana na Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya mazungumzo, na baada ya hapo nitaanza ziara yangu kwa kutembelea Kituo cha Mpito cha Wakimbizi (NMC) kilichopo mjini Kigoma, alisema Simbachawene.

Aliongeza kuwa, baada ya NMC ataelekea Wilayani Kasulu Mkoani humo ambapo atatembelea Kituo cha Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM), na kuzungumza na Wakimbizi wa Kambi ya Nyarugusu katika mkutano wa hadhara utakaofanyika katika viwanja vya Kambi hiyo," alisema Simbachawene.

Pia Waziri Simbachawene alisema Agosti 17, 2020 atatembelea Kambi ya Wakimbizi ya Nduta iliyopo Wilayani Kibondo na Kambi ya Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa huo wa Kigoma, na pia atazungumza na wakimbizi katika kambi hizo kupitia mikutano ya hadhara.

"Baada ya kutembelea kambi tatu za Wakimbizi za Mkoa huo wa Kigoma, tarehe 19 nitafanya ziara katika Mkoa wa Katavi na nitaonana na Mkuu wa Mkoa huo kabla ya kuelekea Makazi ya Wakimbizi ya Mishamo Wilaya ya Tanganyika na Katumba iliyopo Wilayani Tanganyika Mkoani humo," alisema Simbachawene.

Waziri huyo anatarajia kumaliza ziara yake Agosti 20, 2020, katika Mkoa wa Tabora baada ya kutembelea Makazi ya Wakimbizi ya Ulyankulu Mkoani humo na kuzungumza na wakazi wa Makazi hayo.

Katika ziara hiyo ya siku tano, Waziri Simbachawene ataambatana na Viongozi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi na Viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kigoma, ambapo pia watafanya kikao na viongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) Nchini.

images%20(5).jpg
 
Huyu ni zero brain, anashindwa hata kutoa kauli tu ya kile kilichotokea Arusha na hai. Hata kwa kukemea ki unafiki tu. Hovyooooo.
 
Ana wapelekea kadi za kuoigia kura. Kaona moto umewaka Baba la baba hana wapiga kura.. Mtdhibitiwa tuu..
 
Baada ya kuwapa uraia waliokuwa wakimbizi waishio Mishamo, Katumba na Ulyankuru bado tu wanaitwa wakimbizi kwanini pamoja na Uchaguzi mkuu wa 2015 kushiriki uchaguzi huo kwa kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi za Udiwani?.
 
Back
Top Bottom