Madiwani wa Mtwara mmelewa nini?

Madiwani wa Mtwara mmelewa nini?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,644
Reaction score
30,267
Jana Jumanne 18/01/2022 niliwasikia kupitia Wapo Radio madiwani wa mji wa Mtwara wakiitaka TARURA iondoe vibao vya mitaa vyenye majina ya yasiyopendeza! Madiwa hao walipendekeza TARURA iweke majina ya viongozi wakitaifa, CCM na madiwani!

Hayo majina yasiyopendeza ni yale ya makabila ya Mtwara, je, wanamtwara watafurahia kitendo cha madiwani wao kuyadharau majina ya makabila ya Mtwara?

Chanzo: Wapo Radio 18/01/2022.
 
Ndiyo tatizo la kuwa na viongozi kutoka chama kimoja cha siasa! Na hasa hawa wanaojipendekeza ili waendelee kuteuliwa kugombea.
 
Jina kama Nanyamba, Nakapanya na Nanguruwe wao wanaona hayapendezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom