Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,472
215,293
Leo tarehe 3/12/2021 inaweza kuwa siku nzuri kwa wapenda haki duniani , baada ya mmoja wa Wasiginaji wa kubwa wa haki hizo kuburuzwa Mahakamani kwa tuhuma kadhaa ikiwemo uvamizi wa kutumia silaha na ulevi wa Madaraka .

Kesi hii iliyofunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Mh Saed Kubenea kwa niaba ya watu wote , inatajwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni .

Bado hatujafahamu kama Mtuhumiwa huyo ataletwa akiwa na Pingu mkononi au la .

Usikae mbali .

IMG-20141102-WA0010.jpg

=======

Hekima Mwasipu ambaye ni Wakili wa Kubenea amesema kesi hiyo imeondolewa na itawasilishwa tena wiki ijayo baada ya kufanyiwa Marekebisho mazito kwenye maeneo fulani ili kukidhi vigezo vya kisheria .
 
Hii inaitwa sensationalism, na imesababishwa na gazeti la Raia Mwema kudanganya watu kuna kesi. Ukweli ni kuwa, hakuna kesi yoyote, iliyofunguliwa mahakama yoyote, kumhusu Paul Makonda!.

Kilichopo ni Kubenea anaomba kibali cha mahakama, imruhusu kufungua kesi ya jinai ya Makonda dhidi ya uvamizi wa Clouds media.

Nasema hakuna kesi yoyote hapo kwasababu kuathirika na uvamizi huo, Clouds hajalalamika popote, hivyo who is Kubenea?. What has uvamizi wa Makonda Clouds Media got to do with Kubenea?. Hili ombi la Kubenea, limekosa kitu cha kisheria kinachoitwa "locus stand".

Kubenea angeonekana wa maana, na wengi wangemuunga mkono kama angeomba kuendesha kesi ya shambulio la Lissu.

Hapa kwa Makonda, Kube is just wasting his time, money and resources, ila kwa vile lengo lake halisi la sio kumshitaki Makonda, bali ni attention seeking, hii ataipata.

P
 
Alaaniwe kubenea. Kama atathubutu hiyo azma yake ajue mbele ya wanamapinduzi ni adui yao. Ni mtu mpinga maendeleo tu na kibaraka wa wauza madawa ya kulevya ataweza kumfumgulia mashtaka makonda.
 
alaa kumbe leo, toto la marehemu baba linalosema linakula bata kuliko vijana wote Africa lipo kwa pirato.... teh teh teh. (nacheka kithungu)

aaahhhh baba kigani weeeeeeeee, eti na wewe wa kukupandisha kizimbani !! hivi hawakujui eee, hawakujui eee
 
Hii inaitwa sensationalism, na imesababishwa na gazeti la Raia Mwema kudanganya watu kuna kesi. Ukweli ni kuwa, hakuna kesi yoyote, iliyofunguliwa mahakama yoyote, kumhusu Paul Makonda!.

Kilichopo ni Kubenea anaomba kibali cha mahakama, imruhusu kufungua kesi ya jinai ya Makonda dhidi ya uvamizi wa Clouds media.

Nasema hakuna kesi yoyote hapo kwasababu kuathirika na uvamizi huo, Clouds hajalalamika popote, hivyo who is Kubenea?. What has uvamizi wa Makonda Clouds Media got to do with Kubenea?. Hili ombi la Kubenea, limekosa kitu cha kisheria kinachoitwa "locus stand".

Kubenea angeonekana wa maana, na wengi wangemuunga mkono kama angeomba kuendesha kesi ya shambulio la Lissu.

Hapa kwa Makonda, Kube is just wasting his time, money and resources, ila kwa vile lengo lake halisi la sio kumshitaki Makonda, bali ni attention seeking, hii ataipata.

P
Umeongea vizuri sana natamani uendelee siku zote hivi!

Lakini muda mwingine unajisahau Bro!

Heshima kwako Pascal Mayalla
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom