DC Joshua Nassari apiga marufuku michango ya aina yoyote kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Joshua Nassari aliyekuwa mbunge wa Arumeru kwa tiketi ya Chadema na sasa ni mkuu wa wilaya huko Mara amepiga marufuku Wazazi wa wanafunzi kuchangishwa michango yoyote wakati huu shule zinapofunguliwa.

Chanzo: Star tv!

Mungu wa mbinguni mbariki Joshua.
 
Pithole country,nchi ipo kwenye auto pilot kila politician anatoa matamko na SIO kuangalia sheria zinasemaje,je hakuna vifungu vya kisheria kuhusu michango hii ya kishule?
 
Hiyo michango yoyote huwa ni michango gani?
 
Pithole country,nchi ipo kwenye auto pilot kila politician anatoa matamko na SIO kuangalia sheria zinasemaje,je hakuna vifungu vya kisheria kuhusu michango hii ya kishule?

Point kubwa Sana hii! Kwa hiyo Tamko la Nasary does make a difference! Ujinga Sana
 
Joshua Nassari aliyekuwa mbunge wa Arumeru kwa tiketi ya Chadema na sasa ni mkuu wa wilaya huko Mara amepiga marufuku Wazazi wa wanafunzi kuchangishwa michango yoyote wakati huu shule zinapofunguliwa.

Chanzo: Star tv!

Mungu wa mbinguni mbariki Joshua.
Hii nayo ni news? Au ame-miss kusikika?
 
Chadema ilivamiwa na Ndumilakuwili.
Huyu ni Malaya wa kisiasa . Ametafuta ndoa sio sababu ya mapenzi alikuwa anatafuta mwanaume mwenye pesa ili ashibishe tumbo lake.

Huyu ndio wale vijana ambao huwezi kumsikia tena aliongea sababu wenye CCM wamerudi.

Vijana ambao walikuwa wanapambana kuisemea CCM mambo mema ingali ilikuwa imechafuka walitupwa na Magufuli na akaona Hawa waliokuwa wanaichafua na kuibua kashfa za ufisadi wa CCM ndio walimfaa.

Aliwatupa walioipigania CCM wakati imeingia kwenye uelekeo wa kaburi la moto kwa kushambulia na upinzani kisawasawa lakini akawachukua wapinzani na kuwapa vyeo kma vile akitokea upinzani pia.

Hawa ndio walijiunga na Magufuli wanahakikisha upinzani unakufa kwa kudidimiza demokrasia ya kweli ya vyama vingi na ushindani wa kisiasa.

Leo haieleweki Magufuli na Hawa wasaliti walikuwa Wana ajenda gani maana pande zote zimepata pigo waliingia ikazalishwa sukumagang ambalo ni genge jipya hao wasaliti hawakuruhusiwa Wala CCM wenyewe hawakuruhusiwa.

Hii ndio malipo ya usaliti. Dogo hasikiki kabisa na nahisi atapotea siku sio nyingi maana "wenye CCM yao" wanadai vyeo vyao vya ukuu wa wilaya au mkoa.
 
Joshua Nassari aliyekuwa mbunge wa Arumeru kwa tiketi ya Chadema na sasa ni mkuu wa wilaya huko Mara amepiga marufuku Wazazi wa wanafunzi kuchangishwa michango yoyote wakati huu shule zinapofunguliwa.

Chanzo: Star tv!

Mungu wa mbinguni mbariki Joshua.
Kwahiyo aliacha ubunge ili akawe DC. Haka kajamaa kweli kana akili za kimeru
 
Back
Top Bottom